Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwa

Hawana akili
Halafu kuna watu utawasikia eti Urusi hatumii jeshi huko Ukraine anatumia wafungwa tu,sasa hao majenerali wanatoka wapi?!

Jamaa aliingiza jeshi wakafyekwa akajazia mamluki wa Wagner nao wakafyekwa,sasa anajazia wengine laki3.
 
Bado Unazitaka?
Russia alithibitisha au ndio matango mliyokuwa mnalishwa kama.mlibyolishwa kuhusu Kherson kurudishwa kwa Ukraine hadi ukweli ulipowlea jana kuwa jamaa wanapiga kura kujiunga na Russia.

Kabla ya jana mlijaza habari humu oooh, wanajeshi wa Russia wamefurushwa na majeshi ya Ukraine wakitumia silaha za kisasa za NATO.

Vipi bado unaamini Kherson ipo mikononi mwa Ukraine, au kuna mapigano Kherson?

Hao majenerari unawajua wewe na NATO. Taarifa za kupika
 
Unazitaka picha za hao majenerali na majina yao?

Majina picha za kubumba kwa akili yako ndooogo ushawahi kuona wapi jenerali anakwenda uwanja wa vita.

Kama unaweza nipe picha akiwa amefariki na jezi zake sio vile vipaspoti vya kutengeneza.

Nioneshe maiti ya hata mmoja?

Nasubiria 😎😎😎
 
Back
Top Bottom