Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tunauliza haya kwa uzuri tu, wala hatuna wivu wowote ule na kiongozi Mjasiriamali, na kwa vile Maharage ni Mtumishi wa Umma hatuamini kama ni makosa kujua taarifa zake.
Mimi mwenyewe ni Mfanyabiashara na Mwanasiasa pia, kwahiyo si ajabu mtu mwingine kufanya biashara.
Bali kikubwa ni biashara hiyo iwe ya halali tu, na kwa kweli ni vema ikawekwa wazi ili wadau wote waijue.