Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Azimio la Arusha halipo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je ikiwa ni "PROTOKALI" za kumtoa mtu alipo ?!!Ina maana mama Samia huwa anateua bila kufanya vetting? Kabla hajamteua ndugu maharage alitakiwa awe na hizi taarifa zote,sasa tengua teua hii inaonyesha wasaidizi wa Rais hawapo makini
Yes ni sheria kwanza ime kwenye Ibara ya 18 ya katiba ya JMT, kisha kuna sheria yake, ukiivunja ni kosa la kuingilia faragha za watu. Ila kukiwepo sababu ya kisheria ya kuingilia faragha hiyo, unaomba kibali mahakamani, Mahakama ina lift up kitu kinachoitwa "the corporate veil" ndipo unawajua wamiliki wa hiyo biashara ni kina nani. Biashara nyingi zinaendeshwa na menejimenti tuu za uendeshaji, wamiliki wenyewe wametulia!. Mfano ni biashara za mabasi ya abiria, usione mabasi ya Esta, Sumry, Kilimanjaro, Abood etc, ukadhani mabasi yote ni ya mmiliki mmoja!, no!. Yako mabasi ya mmiliki na mabasi ya watu wengine ambao ni silent partners, huwezi kuwajua!.The Right to Privacy nayo ni Sheria?
Sawa hilo linajulikana...Msome Jill Dando alikuwa journalist ila kiherehere chake kilimponza alipigwa risasi akiwa kasimama kwake na mpaka leo miaka 24 hajapatikana aliempiga risasi
Mengine ni kuyaacha tu
Hapo ndipo ilipo hoja...Paschal , Issue ya kujua biashara za chande ndani ya shirika letu la umma ndo hoja iliyoleta yote haya.
Hivyo, kutaka kujua chande anafanya biashara gani na shirika letu la umma, tayari hiyo ni national interest.
Anafanyeje biashara na shirika la umma ilihali yeye ni mtumishi wa umma??
Kwani huoni nafasi yake ya utumishi wa umma ikigongana dhahiri na maslahi yetu kama umma kwa yeye kufanya biashara na shirika letu?
[emoji1787][emoji1787]Watu wengine sijui mnawazaga kwa kutumia nini?!!
Kwa nini mleta mada hajataka kujua chochote kukuhusu wewe Bwana Manjaa?!
Ukishakuwa mtumishi wa umma, lazima ukubali maisha yako kuwa wazi kwa Umma pia.
Kama ukiona unataka privacy sana, basi kakae nyumbani na mkeo/mmeo halafu uone kama kuna mtu atakuja kukufuatilia
Huko ni KUKARIRI kwako....Una pesa alafu unatembelea sienta ,,,,,naanza kupata mashaka huenda ni pesa za majini
Dunia ina mambo
[emoji1787]Wewe unafanya biashara gani? Au biashara yako ni hii michango yenu ya kihuni huko CHADEMA? Ulipata Tsh ngapi kwenye michango ya Join The Chain?
[emoji1787][emoji1787]Mkimjua mtu ni mafia ukamtaja ni mafia, ni kuingilia his right to privacy, ni kosa kisheria!. Mmoja ni huyu Uso kwa Uso na Mtikila- Akataa Hongo ya Millioni 100!
P
smart sana.. maharage hata ukimchanganya na makande inakuwa poa sana.!Nikipata mtoto wa kiume nadhani naweza kumpa jina la "MAHARAGE" nimetokea kumuelewa sana jamaa anaonekana ni mtu smart sana
Inawezekana kabisa, lakini Ndugu Rais alisema amemtoa kwa sababu amegundua kwamba beans anafanya biashara na TTCL, ndio maana nikasema inamaana kabla hajamteua alikua hana taarifa za huyu ndugu beans?Je ikiwa ni "PROTOKALI" za kumtoa mtu alipo ?!!
Umelifikiria na hilo ?!!
Maharage na wali ndi poa haswaa, achana na makendesmart sana.. maharage hata ukimchanganya na makande inakuwa poa sana.!
Ni vyema tukafahamu,ila kumbuka 🍀wamekataa uchawa,vipi kama amewekezamooo,unatarajia ataje,au wataje walichokikataza🤔Tunauliza haya kwa uzuri tu, wala hatuna wivu wowote ule na kiongozi Mjasiriamali, na kwa vile Maharage ni Mtumishi wa Umma hatuamini kama ni makosa kujua taarifa zake.
Mimi mwenyewe ni Mfanyabiashara na Mwanasiasa pia, kwahiyo si ajabu mtu mwingine kufanya biashara.
Bali kikubwa ni biashara hiyo iwe ya halali tu, na kwa kweli ni vema ikawekwa wazi ili wadau wote waijue.
Maharage hayajawahi kutuangusha Huwa yanapendwa na Rika zote !Nikipata mtoto wa kiume nadhani naweza kumpa jina la "MAHARAGE" nimetokea kumuelewa sana jamaa anaonekana ni mtu smart sana
Wanadai ni SOFTNET inahudumia mkonga wa taifa kwa kushirikiana na Huawei.Tunauliza haya kwa uzuri tu, wala hatuna wivu wowote ule na kiongozi Mjasiriamali, na kwa vile Maharage ni Mtumishi wa Umma hatuamini kama ni makosa kujua taarifa zake.
Mimi mwenyewe ni Mfanyabiashara na Mwanasiasa pia, kwahiyo si ajabu mtu mwingine kufanya biashara.
Bali kikubwa ni biashara hiyo iwe ya halali tu, na kwa kweli ni vema ikawekwa wazi ili wadau wote waijue.
[emoji1787][emoji1787]dahh! sio "makende" ni makandeMaharage na wali ndi poa haswaa, achana na makende