Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hiyo ni siri haitakiw kusemwa hadharan mkuu hivyo bas kikubwa sisi tuna utaratib wa kulindana kweny teuzi na madili pamoja na biashara zetu!! Ishi humoTunauliza haya kwa uzuri tu , wala hatuna wivu wowote ule na kiongozi Mjasiriamali , na kwa vile Maharage ni Mtumishi wa umma hatuamini kama ni makosa kujua Taarifa zake .
Mimi mwenyewe ni Mfanyabiashara na Mwanasiasa pia , kwahiyo si ajabu mtu mwingine kufanya biashara .
Bali kikubwa ni biashara hiyo iwe ya halali tu , na kwa kweli ni vema ikawekwa wazi ili wadau wote waijue .
Wakitaka tudukue hiyo biashara tutafanya hivyo bila kuchelewa , Tumewapa nafasi waseme wenyeweHiyo ni siri haitakiw kusemwa hadharan mkuu hivyo bas kikubwa sisi tuna utaratib wa kulindana kweny teuzi na madili pamoja na biashara zetu!! Ishi humo
Hawawez sema mkuu, huo sio utaratib wao!! Utaratib ni kulindana kiteuzi na kimaslahi!!Wakitaka tudukue hiyo biashara tutafanya hivyo bila kuchelewa , Tumewapa nafasi waseme wenyewe
Mtumishi wa umma,ana biashara katika shirika la umma. Hii imekaaje? Anyway cjui biashara yake mkuuTunauliza haya kwa uzuri tu , wala hatuna wivu wowote ule na kiongozi Mjasiriamali , na kwa vile Maharage ni Mtumishi wa umma hatuamini kama ni makosa kujua Taarifa zake .
Mimi mwenyewe ni Mfanyabiashara na Mwanasiasa pia , kwahiyo si ajabu mtu mwingine kufanya biashara .
Bali kikubwa ni biashara hiyo iwe ya halali tu , na kwa kweli ni vema ikawekwa wazi ili wadau wote waijue .
Na tangu lini watumishi wa umma wameruhusiwa kufanya biashara?Tunauliza haya kwa uzuri tu , wala hatuna wivu wowote ule na kiongozi Mjasiriamali , na kwa vile Maharage ni Mtumishi wa umma hatuamini kama ni makosa kujua Taarifa zake .
Mimi mwenyewe ni Mfanyabiashara na Mwanasiasa pia , kwahiyo si ajabu mtu mwingine kufanya biashara .
Bali kikubwa ni biashara hiyo iwe ya halali tu , na kwa kweli ni vema ikawekwa wazi ili wadau wote waijue .
Ngoja tuendelee kufukuaAtakuwa amechukua tender ya customer care labda kama walivyofanya Tanesco na Makamba.
Hakuna sheria inazuia mtumishi wa umma kufanya biashara. Inategemea biashara anafanya na nani na aina ganiNa tangu lini watumishi wa umma wameruhusiwa kufanya biashara?
Pia kama TTCL na Posta zipo chini ya wizara moja, mbona CONFLICT of INTEREST Iko pale pale?
Kila mtu anayo kinga ya kisheria ya faragha zake, ikiwemo biashara zake, Afya yake, maisha yake, familia yake, shughuli zake, mshahara wake, mapato yake, account number zake, vinalindwa na sheria mbiliTunauliza haya kwa uzuri tu , wala hatuna wivu wowote ule na kiongozi Mjasiriamali , na kwa vile Maharage ni Mtumishi wa umma hatuamini kama ni makosa kujua Taarifa zake .
Mimi mwenyewe ni Mfanyabiashara na Mwanasiasa pia , kwahiyo si ajabu mtu mwingine kufanya biashara .
Bali kikubwa ni biashara hiyo iwe ya halali tu , na kwa kweli ni vema ikawekwa wazi ili wadau wote waijue .
KabisaHakuna sheria inazuia mtumishi wa umma kufanya biashara. Inategemea biashara anafanya na nani na aina gani
Japo aliyeleta haya ni Rais mwenyewe ( maana siye wengine hatukujua ) ila nakushukuru kwa hilo angalizo la kupotezwaKila mtu anayo kinga ya kisheria ya faragha zake, ikiwemo biashara zake, Afya yake, maisha yake, familia yake, shughuli zake, mshahara wake, mapato yake, account number zake, vinalindwa na sheria mbili
1. The right to privacy
2. Data protection act.
P
Umesema Kweli Mkuu Wa Mkoa MtarajiwaKila mtu anayo kinga ya kisheria ya faragha zake, ikiwemo biashara zake, Afya yake, maisha yake, familia yake, shughuli zake, mshahara wake, mapato yake, account number zake, vinalindwa na sheria mbili
1. The right to privacy
2. Data protection act.
Mtu usiye husika, huruhusiwi kufuatilia mambo binafsi ya maisha ya mtu anaishije, anafanya nini, ana biashara gani, ni none of your business!.
Ila wewe kama raia mwema ukimuona mtu anaendesha maisha yake kwa namna ya kuleta mashaka kuhusu utajiri wa mtu, unayo haki ya kufanya search Brela kuhusu kampuni yoyote, imesajiliwa vipi, inamilikiwa na nani, wakurugenzi ni kina nani, haki hii pia iko kwenye ardhi, nyumba au gari lolote.
Kuna makampuni mengine wamiliki wake wanaitwa silent partners, mfano Pap ile ya Singasinga iliyoinunua IPTL inamilikiwa 50% na Singa Singa 50% na Simba, huyu Simba ni silent partner hata uki search Brela hukuti majina, majina ya wamiliki yamehifadhiwa chini ya kinga iitwayo "the corporate veil" ukitaka kuwajua kwanza lazima uwe na sababu genuine, pili lazima uombe kibali mahakamani to unveil hiyo corporate veil.
Hivyo nakushauri dogo, deal na mambo tuu yanayokuhusu, acha kufuatia maisha ya watu!, wengine ni ma mafia!, utakuja kupotezwa bure!.
P
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kila mtu anayo kinga ya kisheria ya faragha zake, ikiwemo biashara zake, Afya yake, maisha yake, familia yake, shughuli zake, mshahara wake, mapato yake, account number zake, vinalindwa na sheria mbili
1. The right to privacy
2. Data protection act.
Mtu usiye husika, huruhusiwi kufuatilia mambo binafsi ya maisha ya mtu anaishije, anafanya nini, ana biashara gani, ni none of your business!.
Ila wewe kama raia mwema ukimuona mtu anaendesha maisha yake kwa namna ya kuleta mashaka kuhusu utajiri wa mtu, unayo haki ya kufanya search Brela kuhusu kampuni yoyote, imesajiliwa vipi, inamilikiwa na nani, wakurugenzi ni kina nani, haki hii pia iko kwenye ardhi, nyumba au gari lolote.
Kuna makampuni mengine wamiliki wake wanaitwa silent partners, mfano Pap ile ya Singasinga iliyoinunua IPTL inamilikiwa 50% na Singa Singa 50% na Simba, huyu Simba ni silent partner hata uki search Brela hukuti majina, majina ya wamiliki yamehifadhiwa chini ya kinga iitwayo "the corporate veil" ukitaka kuwajua kwanza lazima uwe na sababu genuine, pili lazima uombe kibali mahakamani to unveil hiyo corporate veil.
Hivyo nakushauri dogo, deal na mambo tuu yanayokuhusu, acha kufuatia maisha ya watu!, wengine ni ma mafia!, utakuja kupotezwa bure!.
P
Si wanasema Wwchaga ni wabaguzi , mimi Mnyakyusa nitakumbukwa kweli ?Mfanyabiashara unayetaka Mbowe awe Rais ili "ukware" tenda kubwa kwa ubua.....[emoji1787][emoji9]
Ughonile Tusekelege [emoji120]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Japo aliyeleta haya ni Rais mwenyewe ( maana siye wengine hatukujua ) ila nakushukuru kwa hilo angalizo la kupotezwa