Kuuliza si Ujinga; Maharage Chande anafanya biashara gani na TTCL? Kwanini Biashara hiyo inafichwa?

Ina maana mama Samia huwa anateua bila kufanya vetting? Kabla hajamteua ndugu maharage alitakiwa awe na hizi taarifa zote,sasa tengua teua hii inaonyesha wasaidizi wa Rais hawapo makini
Je ikiwa ni "PROTOKALI" za kumtoa mtu alipo ?!!

Umelifikiria na hilo ?!!
 
The Right to Privacy nayo ni Sheria?
Yes ni sheria kwanza ime kwenye Ibara ya 18 ya katiba ya JMT, kisha kuna sheria yake, ukiivunja ni kosa la kuingilia faragha za watu. Ila kukiwepo sababu ya kisheria ya kuingilia faragha hiyo, unaomba kibali mahakamani, Mahakama ina lift up kitu kinachoitwa "the corporate veil" ndipo unawajua wamiliki wa hiyo biashara ni kina nani. Biashara nyingi zinaendeshwa na menejimenti tuu za uendeshaji, wamiliki wenyewe wametulia!. Mfano ni biashara za mabasi ya abiria, usione mabasi ya Esta, Sumry, Kilimanjaro, Abood etc, ukadhani mabasi yote ni ya mmiliki mmoja!, no!. Yako mabasi ya mmiliki na mabasi ya watu wengine ambao ni silent partners, huwezi kuwajua!.
P
 
Msome Jill Dando alikuwa journalist ila kiherehere chake kilimponza alipigwa risasi akiwa kasimama kwake na mpaka leo miaka 24 hajapatikana aliempiga risasi

Mengine ni kuyaacha tu
Sawa hilo linajulikana...

Hoja ni moja tu....

Ingekuwa matukio hayo ni [emoji817] p basi vyuo vikuu visingefuta mtaala wa INVESTIGATE JOURNALISM [emoji1787][emoji1787]
 
Hapo ndipo ilipo hoja...
 
[emoji1787][emoji1787]
 
Je ikiwa ni "PROTOKALI" za kumtoa mtu alipo ?!!

Umelifikiria na hilo ?!!
Inawezekana kabisa, lakini Ndugu Rais alisema amemtoa kwa sababu amegundua kwamba beans anafanya biashara na TTCL, ndio maana nikasema inamaana kabla hajamteua alikua hana taarifa za huyu ndugu beans?
 
Ni vyema tukafahamu,ila kumbuka 🍀wamekataa uchawa,vipi kama amewekezamooo,unatarajia ataje,au wataje walichokikataza🤔
 
Kama wanapenda kufanya biashara Tena na taasisi za umma kwanini wanawekwa kwenye ofisi za umma Tena nafasi zenye maamuzi?ni Jambo zuri kujiajiri achia nafasi kwa watu wengine
 
Nikipata mtoto wa kiume nadhani naweza kumpa jina la "MAHARAGE" nimetokea kumuelewa sana jamaa anaonekana ni mtu smart sana
Maharage hayajawahi kutuangusha Huwa yanapendwa na Rika zote !

Kwanza yameshapanda Bei!

Mr.Bean si unajua yuko Smart
 
Wanadai ni SOFTNET inahudumia mkonga wa taifa kwa kushirikiana na Huawei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…