Kuuliza Sio Ujinga; Nimepokea Sms hii Je kuna anaye fahamu kuhusu Hili?

Zuwenna

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
2,133
Reaction score
3,758
Nimepokea sms ambayo Imenichanganya sana
Sio nimechanganywa labda na tamaa Au Kishawishi kilichopo hapo kwenye Sms hapana
Kilicho Nichanganya ni Mtumaji .
Huyu mtumaji Nimejaribu Kwenda Hata Google Sioni Majibu Yanayo Eleweka kabisa


Mimi muoga sana Kufunga Kitu kinaitwa Link
Kutoka Sehemu isiyo Eleweka
Hawa LLNEWS Nikina nani na wanahusika na nini?
 
Hawa ni matapeli wa mtandaoni.

Never Click Links
 
Hongera sana mkuu... Utajiri wa kimaskini unakunyemelea kwa kasi sana kaka... Hongera kwa kutoboa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…