Kuuliza Sio Ujinga; Nimepokea Sms hii Je kuna anaye fahamu kuhusu Hili?

Kuuliza Sio Ujinga; Nimepokea Sms hii Je kuna anaye fahamu kuhusu Hili?

View attachment 3244136Nimepokea sms ambayo Imenichanganya sana
Sio nimechanganywa labda na tamaa Au Kishawishi kilichopo hapo kwenye Sms hapana
Kilicho Nichanganya ni Mtumaji .
Huyu mtumaji Nimejaribu Kwenda Hata Google Sioni Majibu Yanayo Eleweka kabisaView attachment 3244128View attachment 3244130

Mimi muoga sana Kufunga Kitu kinaitwa Link
Kutoka Sehemu isiyo Eleweka
Hawa LLNEWS Nikina nani na wanahusika na nini?
Utakamulliwa upepo mkuu achana na matapeli
 
Wakulipe kwa siku laki 7. Nimepiga hesabu kwa mwezi utakuwaunalipwa siyo chini ya milioni ishirini sasa unaachaje kazi la hiyo ambayo hata mbunge wako Hana huomshahara.
 
acha uoga fungua upambane na wanaume wenzako!..😅
 
Scammers hutumia viungo vya WhatsApp badala ya tovuti rasmi ili kukwepa kugundulika na mamlaka,shtuka mapema sistery😅
 
View attachment 3244136Nimepokea sms ambayo Imenichanganya sana
Sio nimechanganywa labda na tamaa Au Kishawishi kilichopo hapo kwenye Sms hapana
Kilicho Nichanganya ni Mtumaji .
Huyu mtumaji Nimejaribu Kwenda Hata Google Sioni Majibu Yanayo Eleweka kabisaView attachment 3244128View attachment 3244130

Mimi muoga sana Kufunga Kitu kinaitwa Link
Kutoka Sehemu isiyo Eleweka
Hawa LLNEWS Nikina nani na wanahusika na nini?
Utakapoanza kazi naomba uniunganishe na mimi, nintanguliza 50elfu.
 
Back
Top Bottom