Kuuliza Sio Ujinga; Nimepokea Sms hii Je kuna anaye fahamu kuhusu Hili?

Du! Na Namba Ninayo Tumia Ni muhimu sana Huko WhatsApp
Nilipata Hisia Hizo
Watakuletea zeshen utashangaa, hakuna hela raisi hivyo. Hiyo kwenye cyber security tunaona phishing attack, wanakutrick utashangaa password zako wanazo unatupigia simu tukiwa tunapambana kuirudisha na sisi tunakupiga hela hatufanyi kazi bure sasa either way utapigwa hela bora uwablock tu ndugu yangu
 
Hata mimi wamenitumia haohao LL NEWS kama kawaida yangu nikiona kitu sikielewi naiuliza chat gpt walichonijibu;
 

Attachments

  • Screenshot_20250221_211731_ChatGPT.jpg
    158.6 KB · Views: 1
Delete hio sms haraka,maana waweza ukajisahau uko zako nyumbani mtoto wako au mtu wa karibu akashika simu hiyo aka click bila ww kujua.!
 
Mbona iko wazi huyo ni tapeli anataka kuhack account yako ya whatsapp.

Link halali za whatsapp haziko hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…