Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Afu kwann katwambia kwann asingeuza kimya kimya tu
Tatizo Mbwa wa Samia mna akili za kipumbavu..BOT ilianza kununua dhahabu tangu 1990 kwenye utawala na sisi GoldDigger wa upande wa Mbeya tulikuwa tunauza dhahabu pale BOT Mbeya..Rais alitunisha Gold Reserve ni Magufuli baada ya kuweka sheria kali za udhibiti wa madini ..Huyo Kahaba Chura amenunua nini zaidi ya kufadhili mikundu ya machawa iende chooni ?Kumbuka kabla ya Samia BOT ilikuwa hainunui gold. Tumeanza kununua mwaka 2023 kwa mikakati yake na sasa tuna tani 15. Kuna ubaya gani kuiuza kiasi kipindi hiki ambacho gold imepanda kwa zaidi ya 60% soko ili ku finance ujenzi wa miundombinu?? Mikakati ni ya kwake ndiye aliyeanzisha kununua. .
Akili za haters wa Samia itakuwa zimechanganyika na vichembevichembe vya mavi ya lissu, lema na kitima aisee.
Kwenye 1990s kweli BOT walianza lakini walifeli kwa sababu ya uwizi. Ila ChatGPT ina sema hivi.Tatizo Mbwa wa Samia mna akili za kipumbavu..BOT ilianza kununua dhahabu tangu 1990 kwenye utawala na sisi GoldDigger wa upande wa Mbeya tulikuwa tunauza dhahabu pale BOT Mbeya..Rais alitunisha Gold Reserve ni Magufuli baada ya kuweka sheria kali za udhibiti wa madini ..Huyo Kahaba Chura amenunua nini zaidi ya kufadhili mikundu ya machawa iende chooni ?
Acheni obsession na Magufuli, hata kama Mama hamumpendi, mpeni haki yake kwa makubwa aliyofanya.Hii ya kununua gold ni wazo la Magufuli baada ya kuanzisha masoko ya madini na alianza yeye kununua labda Samia alizipiga kwanza ndio akasingizia kaanza yeye. Kama ile miradi iliyokuwa asilimia 50 alipo apishwa akawa anairudisha asilimia 20 ili apige pesa.
😂😂😂😂😂😂 mtaweza wapiii?? Km sahivi mnashindwa. LolTutaenda kunyonya kwa nguvu mafuta kule kisiwani kwao.
Kisiwa cha marashi ya majini.
Thubutuuuu. 😂😂😂😂😂Tutaanzisha timbwili
Hako ka mji tutakafuta
Upo sahihi mkuu! Ila jiulize sababu ya kuuza dhahabu ni kukosa mikopo na grants na sababu inajulikana baada ya kuuza dhahabu nini kitafuata? Tutauza ni nini tena? Kwanini tusirekebishe tulipokosea ili tupate eligibility ya mikopo na grants!Kumbuka kabla ya Samia BOT ilikuwa hainunui gold. Tumeanza kununua mwaka 2023 kwa mikakati yake na sasa tuna tani 15. Kuna ubaya gani kuiuza kiasi kipindi hiki ambacho gold imepanda kwa zaidi ya 60% soko ili ku finance ujenzi wa miundombinu?? Mikakati ni ya kwake ndiye aliyeanzisha kununua. Na siyo vibaya kuuza kiasi kuliko kwenda kukopa kwenye mabenki kwa ajili ya kujenga hiyo miundombinu.
Hapa umedanganya mzee 🤣🤣🤣🤣Twende kwa facts, hata kama mnamchukia bali yeye ndiye kaanzisha BOT kununua dhahbu, na sasa ana Tani 15.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Kumbuka kabla ya Samia BOT ilikuwa hainunui gold. Tumeanza kununua mwaka 2023 kwa mikakati yake na sasa tuna tani 15. Kuna ubaya gani kuiuza kiasi kipindi hiki ambacho gold imepanda kwa zaidi ya 60% soko ili ku finance ujenzi wa miundombinu?? Mikakati ni ya kwake ndiye aliyeanzisha kununua. Na siyo vibaya kuuza kiasi kuliko kwenda kukopa kwenye mabenki kwa ajili ya kujenga hiyo miundombinu.
Kabla ya kuuza dhahabu ilitakiwa kwanza bandari ya Zanzibar nayo ibinafsishwe......Uamuzi wa kuuza sehemu ya hazina ya dhahabu ya Tanzania si mpango wa kiuchumi. Ni tamko la kushindwa kwa dola. Ni kukiri wazi kwamba serikali imeshindwa kuendesha nchi kwa uadilifu, imeshindwa kudhibiti wizi, na sasa imeamua kuuza urithi wa taifa ili kuendeleza mfumo wa ulaji wa wachache.
Serikali inajitetea kwa kisingizio cha kupungua kwa msaada wa wafadhili. Lakini ukweli mchungu ni huu: wafadhili hawajaondoka kwa sababu Tanzania ni maskini, bali kwa sababu ufisadi, ukosefu wa uwazi, na uongozi wa mabavu vimeua imani.
Dhahabu si hela ya matumizi ya kawaida. Dhahabu ni bima ya taifa, ni kinga dhidi ya misukosuko ya kiuchumi, ni dhamana ya vizazi ambavyo havijazaliwa. Kuamua kuiuza ili kufadhili miradi inayojulikana kwa:
gharama zilizopandishwa kiholela, zabuni za kifisadi, na matokeo yasiyoonekana kwa wananchi,ni uhalifu wa kiuchumi uliohalalishwa na saini za wakubwa.
Rais Haramu Samia Suluhu Hassan na serikali yake wanaita hili “usimamizi wa rasilimali za ndani.” Huu si usimamizi huu ni uharibifu wa makusudi. Serikali inayoshindwa kukusanya mapato kikamilifu, inayoshindwa kufunga mianya ya rushwa, na inayoshindwa kuwawajibisha mafisadi wakubwa haina uhalali wa kugusa hata gramu moja ya dhahabu ya taifa.
Lakini unafiki wa uamuzi huu unaonekana zaidi tunapokumbuka kuwa serikali hii imekopa fedha nyingi sana kwa jina la miradi ya maendeleo. Mikopo hiyo ilitangazwa kwa mbwembwe, ikaambatana na propaganda, lakini mwisho wa siku:
miradi mingi imebaki hewa, fedha zimeishia mifukoni mwa wachache, na wananchi wameachiwa mzigo wa madeni.Leo, ushahidi wa wizi huo unasimama kwa zege na vioo vya ghorofa. Viongozi wa serikali, wabunge, na watu wa karibu nao wanajenga majengo ya kifahari kila kona ya nchi. Hakuna uchawi hapa. Huu ni utakatishaji wa fedha za umma, fedha za mikopo, fedha za miradi, fedha za taifa.
Serikali ikishamaliza kukopa na kuiba, sasa inakuja kwa wananchi na kusema: “Hebu tuuze dhahabu.” Huu ni utapeli wa kisera.
Wananchi wanapunjwa mara tatu:
Wanapunjwa kupitia rushwa na wizi wa mapato Wanapunjwa kwa kubebeshwa madeni yasiyo na tija Sasa wanapunjwa kwa kuuzwa kwa hazina yao ya mwishoLakini tatizo kubwa zaidi halipo kwenye dhahabu lipo kwenye uhalali wa uongozi wenyewe. Tanzania inaongozwa na serikali ambayo haikupatikana kwa ridhaa ya kweli ya kura za wananchi. Uchaguzi uligeuzwa kuwa maigizo, sauti za upinzani zikabanwa, na nguvu za dola zikatumiwa kulinda matokeo, si kura.
Serikali isiyo halali haiwezi kuongoza kwa uadilifu. Haina sababu ya kuwajibika kwa wananchi, kwa sababu haikutokana nao. Ndiyo maana:
Ufisadi haulazimishwi kuisha Wahujumu uchumi hawaguswi Mali za taifa zinageuzwa mtaji wa kuendeleza mfumoKuuza dhahabu chini ya serikali isiyo na uhalali wa kidemokrasia ni uhaini wa kizazi. Ni kuiba kesho ya watoto wa Tanzania ili kulinda leo ya watawala wachache.
Tanzania haina shida ya rasilimali.
Haina shida ya dhahabu.
Haina shida ya uwezo wa kujenga miundombinu.
Tanzania ina shida ya uongozi.
Na mpaka mfumo wa:
serikali isiyotokana na wananchi, ufisadi wa kulindwa na dola, na wizi wa mali za ummautakapovunjwa, kila uamuzi kama huu wa kuuza dhahabu utabaki kuwa jinai dhidi ya taifa, si sera ya maendeleo.
Dhahabu inaweza kuuzwa.
Lakini historia haitasamehe.
ngoja nikusaidie tu huyu mwanamke hana strategic thinking mind yeye anachojua ni michambo. JPM ndio alitengenza wazo na foundation kwa ajili ya utekelezaji wa hilo jambo.....huyu mwanamke awamu yake zaidi ya kukopa mafedha mengi, kuiba na kuua watanzania amefanya lipi linginengoja Acheni obsession na Magufuli, hata kama Mama hamumpendi, mpeni haki yake kwa makubwa aliyofanya.
Gemini AI inasema hivi:-
View attachment 3536465 View attachment 3536466 Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Wakati wa utawala wa Mwinyi pekee BOT ilikuwa imekusanya tani 9 za dhahabu kabla ya sakata la mauzo ya dhahabu feki kuibuka.. hii ilikuwa ni mujibu wa taarifa ya Waziri wa fedha wa wakati huo Marehemu Stephen Kibona !ikumbukwe nchi hii kwa sasa ina Tanzanite Reserve zilizokusanywa wakati wa Magu ikiwemo zile za Mmasai Laizer..kwa utawala kwa utawala huu huenda zikawa zimepelekwa ujombani kule Umangani..Kwenye 1990s kweli BOT walianza lakini walifeli kwa sababu ya uwizi. Ila ChatGPT ina sema hivi.
View attachment 3536463 Yoso bishana na Chat GPT
Watu hawana akili kufuata mikumbo tuKumbuka kabla ya Samia BOT ilikuwa hainunui gold. Tumeanza kununua mwaka 2023 kwa mikakati yake na sasa tuna tani 15. Kuna ubaya gani kuiuza kiasi kipindi hiki ambacho gold imepanda kwa zaidi ya 60% soko ili ku finance ujenzi wa miundombinu?? Mikakati ni ya kwake ndiye aliyeanzisha kununua. Na siyo vibaya kuuza kiasi kuliko kwenda kukopa kwenye mabenki kwa ajili ya kujenga hiyo miundombinu.
Umeandika kwa mpangilio mzuri sana wa kueleweka mpaka nikawa natamani usimalize.Uamuzi wa kuuza sehemu ya hazina ya dhahabu ya Tanzania si mpango wa kiuchumi. Ni tamko la kushindwa kwa dola. Ni kukiri wazi kwamba serikali imeshindwa kuendesha nchi kwa uadilifu, imeshindwa kudhibiti wizi, na sasa imeamua kuuza urithi wa taifa ili kuendeleza mfumo wa ulaji wa wachache.
Serikali inajitetea kwa kisingizio cha kupungua kwa msaada wa wafadhili. Lakini ukweli mchungu ni huu: wafadhili hawajaondoka kwa sababu Tanzania ni maskini, bali kwa sababu ufisadi, ukosefu wa uwazi, na uongozi wa mabavu vimeua imani.
Dhahabu si hela ya matumizi ya kawaida. Dhahabu ni bima ya taifa, ni kinga dhidi ya misukosuko ya kiuchumi, ni dhamana ya vizazi ambavyo havijazaliwa. Kuamua kuiuza ili kufadhili miradi inayojulikana kwa:
gharama zilizopandishwa kiholela, zabuni za kifisadi, na matokeo yasiyoonekana kwa wananchi,ni uhalifu wa kiuchumi uliohalalishwa na saini za wakubwa.
Rais Haramu Samia Suluhu Hassan na serikali yake wanaita hili “usimamizi wa rasilimali za ndani.” Huu si usimamizi huu ni uharibifu wa makusudi. Serikali inayoshindwa kukusanya mapato kikamilifu, inayoshindwa kufunga mianya ya rushwa, na inayoshindwa kuwawajibisha mafisadi wakubwa haina uhalali wa kugusa hata gramu moja ya dhahabu ya taifa.
Lakini unafiki wa uamuzi huu unaonekana zaidi tunapokumbuka kuwa serikali hii imekopa fedha nyingi sana kwa jina la miradi ya maendeleo. Mikopo hiyo ilitangazwa kwa mbwembwe, ikaambatana na propaganda, lakini mwisho wa siku:
miradi mingi imebaki hewa, fedha zimeishia mifukoni mwa wachache, na wananchi wameachiwa mzigo wa madeni.Leo, ushahidi wa wizi huo unasimama kwa zege na vioo vya ghorofa. Viongozi wa serikali, wabunge, na watu wa karibu nao wanajenga majengo ya kifahari kila kona ya nchi. Hakuna uchawi hapa. Huu ni utakatishaji wa fedha za umma, fedha za mikopo, fedha za miradi, fedha za taifa.
Serikali ikishamaliza kukopa na kuiba, sasa inakuja kwa wananchi na kusema: “Hebu tuuze dhahabu.” Huu ni utapeli wa kisera.
Wananchi wanapunjwa mara tatu:
Wanapunjwa kupitia rushwa na wizi wa mapato Wanapunjwa kwa kubebeshwa madeni yasiyo na tija Sasa wanapunjwa kwa kuuzwa kwa hazina yao ya mwishoLakini tatizo kubwa zaidi halipo kwenye dhahabu lipo kwenye uhalali wa uongozi wenyewe. Tanzania inaongozwa na serikali ambayo haikupatikana kwa ridhaa ya kweli ya kura za wananchi. Uchaguzi uligeuzwa kuwa maigizo, sauti za upinzani zikabanwa, na nguvu za dola zikatumiwa kulinda matokeo, si kura.
Serikali isiyo halali haiwezi kuongoza kwa uadilifu. Haina sababu ya kuwajibika kwa wananchi, kwa sababu haikutokana nao. Ndiyo maana:
Ufisadi haulazimishwi kuisha Wahujumu uchumi hawaguswi Mali za taifa zinageuzwa mtaji wa kuendeleza mfumoKuuza dhahabu chini ya serikali isiyo na uhalali wa kidemokrasia ni uhaini wa kizazi. Ni kuiba kesho ya watoto wa Tanzania ili kulinda leo ya watawala wachache.
Tanzania haina shida ya rasilimali.
Haina shida ya dhahabu.
Haina shida ya uwezo wa kujenga miundombinu.
Tanzania ina shida ya uongozi.
Na mpaka mfumo wa:
serikali isiyotokana na wananchi, ufisadi wa kulindwa na dola, na wizi wa mali za ummautakapovunjwa, kila uamuzi kama huu wa kuuza dhahabu utabaki kuwa jinai dhidi ya taifa, si sera ya maendeleo.
Dhahabu inaweza kuuzwa.
Lakini historia haitasamehe.
Zanzibar haina dhahabu wala mbuga za wanyama.Uamuzi wa kuuza sehemu ya hazina ya dhahabu ya Tanzania si mpango wa kiuchumi. Ni tamko la kushindwa kwa dola. Ni kukiri wazi kwamba serikali imeshindwa kuendesha nchi kwa uadilifu, imeshindwa kudhibiti wizi, na sasa imeamua kuuza urithi wa taifa ili kuendeleza mfumo wa ulaji wa wachache.