Wakati Kenya imeamua kuuza 15% ya hisa za safaricom, ambapo serikali ilikuwa mbia. TZ tumeamua kuuza dhahabu, lets see Uganda atauza nini..... inaonekana hii ndio namna pekee ya kujinasua baada ya trump kukata mizizi ya misaada. Na hii itaenda kwa nchi nyingi zaidi.
Wapo watu watamdondoshea jumba bovu Samia, ila uchumi wa dunia ndio unataka hivyo. Haya ndio mambo Mzee Edwin Mtei aliyapigania.
Wapo watu watamdondoshea jumba bovu Samia, ila uchumi wa dunia ndio unataka hivyo. Haya ndio mambo Mzee Edwin Mtei aliyapigania.