Hopkinsvile
Member
- Jan 17, 2026
- 91
- 315
Bibi yako alizipiga akaanza zero kama alivyorudisha nyuma miradi iliyokuwa 50% yeye akasema iko 20% ili apige pesa.Je baada ya kauli hiyo ya Januari 2018 hadi anakufa Magufuli Machi 2021, BOT walinunua kilo ngapi za zahabu?
Maana ni miaka 2 na miezi 3
Hakuna sehemu samia ashawahi toa maelekezo BOT kununua dhahabu zaidi ya yeye kuuza.