Kuuza Dhahabu ya Taifa: Wezi wakikosa Fedha, Huuza Urithi wa Watoto Wako

Tatizo Mbwa wa Samia mna akili za kipumbavu..BOT ilianza kununua dhahabu tangu 1990 kwenye utawala na sisi GoldDigger wa upande wa Mbeya tulikuwa tunauza dhahabu pale BOT Mbeya..Rais alitunisha Gold Reserve ni Magufuli baada ya kuweka sheria kali za udhibiti wa madini ..Huyo Kahaba Chura amenunua nini zaidi ya kufadhili mikundu ya machawa iende chooni ?
 
Kwenye 1990s kweli BOT walianza lakini walifeli kwa sababu ya uwizi. Ila ChatGPT ina sema hivi.

Yoso bishana na Chat GPT
 
Acheni obsession na Magufuli, hata kama Mama hamumpendi, mpeni haki yake kwa makubwa aliyofanya.

Gemini AI inasema hivi:-

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Laana ya kumwaga damu za Watanganyika zaidi ya 10,000 haziwezi kumuacha salama, atafanya maamuzzi ya ajabu ajabu hadi watoto wa chekechea watajua kuwa amedata.
 
Upo sahihi mkuu! Ila jiulize sababu ya kuuza dhahabu ni kukosa mikopo na grants na sababu inajulikana baada ya kuuza dhahabu nini kitafuata? Tutauza ni nini tena? Kwanini tusirekebishe tulipokosea ili tupate eligibility ya mikopo na grants!
 

Samia hana akili hizo. Mwazilishaji wa wazo ni mwamba JPM na umeona sababu za kuanzishwa na anachokifanya huyu mwanamke??
 
Kabla ya kuuza dhahabu ilitakiwa kwanza bandari ya Zanzibar nayo ibinafsishwe......
 
ngoja Acheni obsession na Magufuli, hata kama Mama hamumpendi, mpeni haki yake kwa makubwa aliyofanya.

Gemini AI inasema hivi:-

View attachment 3536465 View attachment 3536466 Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
ngoja nikusaidie tu huyu mwanamke hana strategic thinking mind yeye anachojua ni michambo. JPM ndio alitengenza wazo na foundation kwa ajili ya utekelezaji wa hilo jambo.....huyu mwanamke awamu yake zaidi ya kukopa mafedha mengi, kuiba na kuua watanzania amefanya lipi lingine
 
Kwenye 1990s kweli BOT walianza lakini walifeli kwa sababu ya uwizi. Ila ChatGPT ina sema hivi.

View attachment 3536463 Yoso bishana na Chat GPT
Wakati wa utawala wa Mwinyi pekee BOT ilikuwa imekusanya tani 9 za dhahabu kabla ya sakata la mauzo ya dhahabu feki kuibuka.. hii ilikuwa ni mujibu wa taarifa ya Waziri wa fedha wa wakati huo Marehemu Stephen Kibona !ikumbukwe nchi hii kwa sasa ina Tanzanite Reserve zilizokusanywa wakati wa Magu ikiwemo zile za Mmasai Laizer..kwa utawala kwa utawala huu huenda zikawa zimepelekwa ujombani kule Umangani..
 
Watu hawana akili kufuata mikumbo tu
 
Umeandika kwa mpangilio mzuri sana wa kueleweka mpaka nikawa natamani usimalize.

Binafsi huwa nasemaga kma kuna mtu ambaye anaamini eti serikali hii haram inayoongozwa na lile shetani jike la kizanzibar ipo kwa ajili ya maslahi ya Tanganyika anajidanganya.

Hii ni serikali ambayo ipo kwa ajili ya kuinufaisha Zanzibar na familia ya samiya pamoja na familia chache za Watanganyika ambao wamekubali kuuzika utu wao (hapa nazungumzia familia za watu kma Kikwete,Mombo na IGP) hili tu wamlinde samiya kuhakikisha utawala wake hauanguki.

Ndio maana tunaona ikitumia shortcut solutions karibu kwenye kila jambo, kwa sababu haijali ustawi wa taifa hili la Tanganyika kwa siku za mbeleni.

Leo mtu unauza national reserve kwa sababu wafadhili wamekufungia milango ni akili hiyo? Haya wakiendelea kukunyima misaada kwa miaka minne utauza nini sasa baada ya hiyo reserve kuwa imeisha? Kweli hili taifa Mungu kaamua kulipa adhabu kali sana kupitia hili genge la wahuni wanaojiita viongozi.
 
Hutokea pale matumizi ya serikali yapakua makubwa sana kuliko mapato na vyanzo vyake na hawataki kujishusha...

Posho, vikao, safari, mishahara ya wenza wa wastaafu, Bunge liliojaa wabunge wengi bila tija, Wizara kua na mawaziri wengi wengi bila sababu za msingi...


Cc: Mahondaw
 
Zanzibar haina dhahabu wala mbuga za wanyama.

Ila hela ya dhahabu itaijenga Zanzibar upende usipende.

Hela ya uchumi wa blue wa Zanzibar haitajenga hata chumba kimoja cha shule bara.

Maajabu ya ubaguzi wa waislam wa Zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…