Kuuza Dhahabu ya Taifa: Wezi wakikosa Fedha, Huuza Urithi wa Watoto Wako

Wakati Kenya imeamua kuuza 15% ya hisa za safaricom, ambapo serikali ilikuwa mbia. TZ tumeamua kuuza dhahabu, lets see Uganda atauza nini..... inaonekana hii ndio namna pekee ya kujinasua baada ya trump kukata mizizi ya misaada. Na hii itaenda kwa nchi nyingi zaidi.

Wapo watu watamdondoshea jumba bovu Samia, ila uchumi wa dunia ndio unataka hivyo. Haya ndio mambo Mzee Edwin Mtei aliyapigania.
 
Ubaya ni kwamba watu wameogopa kufa! Huu ndo muda sahihi wa kuandamana! Mtu anacheza na tegemeo lako la mwisho halafu unamuangalia tu!
 
View attachment 3536473
Samia hana akili hizo. Mwazilishaji wa wazo ni mwamba JPM na umeona sababu za kuanzishwa na anachokifanya huyu mwanamke??
Huyo lofer hana akili za kufuatilia taarifa sahihi Kama hizo zaidi ya chuki dhidi ya JPM.
Huwa anatetea ujinga na ufisadi tu.
Huyo ni mmojawapo wa waliotumbuliwa kwa kutumia vyeti batili(vyeti fake).
 
😂😂😂😂😂😂 mtaweza wapiii?? Km sahivi mnashindwa. Lol
Sasa hivi anawezeshwa na watanga na nyika wanaipiga Mali za umma.
Tukimwagana muungano hawatakuwa na msaliti wanaye mtumia toka upande wetu.
 
View attachment 3536473
Samia hana akili hizo. Mwazilishaji wa wazo ni mwamba JPM na umeona sababu za kuanzishwa na anachokifanya huyu mwanamke??
Kama ni hivyo basi mtu wa kumpa credit ni Ali Hassan Mwinyi. Maana mwaka 1987-91 ndiye aliyeanzisha kununua dhahabu kupitia BOT.

Huyo mtu wenu alitamka mwaka 2019 Januari lakini hakukusanya hata kilo 1 hadi anakufa Machi 2021.
 
Laser ni Tanzanite siyo dhahabu, acha uwongo dogo
 
Kama ni hivyo basi mtu wa kumpa credit ni Ali Hassan Mwinyi. Maana mwaka 1987-91 ndiye aliyeanzisha kununua dhahabu kupitia BOT.

Huyo mtu wenu alitamka mwaka 2019 Januari lakini hakukusanya hata kilo 1 hadi anakufa Machi 2021.
Wewe jamaa kichwani utakuwa na mavi.... Katika kuelekea kununua dhahabu JPM alihakikisha kwanza dhahabu inachenjuliwa hapa hapa nchini na kuwa na masoko ya madini na kuanza kununua dhahabu kidogo kidogo. Mwinyi akilizake zilikuwa kama za huyu shetani jike ndio maana alipigwa kwa kuuziwa dhahabu feki.... Huwezi kumtetea Samia wako maana ananuka mavi na amejaa damu za watanzania
 
Acha usenge wako hapa!! Unamdanganya nani ambaye hakuwapo?? Magufuli alianzisha sheria ya madini tu ya 2017.

Lakini kwenye BOT kununua dhahabu ni Samia. Mbona mnamtukuza mungu wenu Magufuli hata kwa mambo ambayo hakufanya?? Mtu amekufa BOT haina hata kilo moja ya dhahabu, leo hii unataka kumpamba huyo shetani!!
 

View: https://youtube.com/shorts/SrbtKpX0lTE?si=dYWYzjV_aNGxB8iX
 
Kwiyo miaka 3 ya samia kaweza kukusanya tani 17 za pure gold??? Maana ndo thamani ya gold za $2billion approximately
Je baada ya kauli hiyo ya Januari 2018 hadi anakufa Magufuli Machi 2021, BOT walinunua kilo ngapi za zahabu?

Maana ni miaka 2 na miezi 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…