Hopkinsvile
Member
- Jan 17, 2026
- 91
- 315
Bibi yako alizipiga akaanza zero kama alivyorudisha nyuma miradi iliyokuwa 50% yeye akasema iko 20% ili apige pesa.Je baada ya kauli hiyo ya Januari 2018 hadi anakufa Magufuli Machi 2021, BOT walinunua kilo ngapi za zahabu?
Maana ni miaka 2 na miezi 3
Masoko ya dhahabu wachimbaji wanajua wameaanza kuuza toka magufuli yupo hai.Sawa. Magufuli aliongea hivyo na ilikuwa Januari 2019. Na mpaka alipokufa tarehe 17/ 03/ 2021 je ni kilo ngapi za dhahabu ambazo BOT walinunua. Weka takwimu hapa
Samia ni mnufaika yeye mda wote anawaza kukopa hiyo akili ya kununua dhahabu aitoe wapSawa. Magufuli aliongea hivyo na ilikuwa Januari 2019. Na mpaka alipokufa tarehe 17/ 03/ 2021 je ni kilo ngapi za dhahabu ambazo BOT walinunua. Weka takwimu hapa
Hiyo ilikuwa Jan 2019 na alikufa Machi 2021, je BOT ilinunua dhahabu kilo ngapi?
Sina shida na masoko, naulizia BOT kununua dhahabu je wakati wa Magufuli walinunua kilo ngapi?Masoko ya dhahabu wachimbaji wanajua wameaanza kuuza toka magufuli yupo hai.
NdiyoKwiyo miaka 3 ya samia kaweza kukusanya tani 17 za pure gold??? Maana ndo thamani ya gold za $2billion approximately
Wacha uwongo, kawadanganye wanafamilia yako. Weka takwimu za dhahabu ambazo BOT walinunua hapa wakati wa MagufuliBibi yako alizipiga akaanza zero kama alivyorudisha nyuma miradi iliyokuwa 50% yeye akasema iko 20% ili apige pesa.
Hakuna sehemu samia ashawahi toa maelekezo BOT kununua dhahabu zaidi ya yeye kuuza.
Huyo mwenye akili alinunua dhahabu kilo ngapi?Samia ni mnufaika yeye mda wote anawaza kukopa hiyo akili ya kununua dhahabu aitoe wap
Zote hizo alizouza samia leoHuyo mwenye akili alinunua dhahabu kilo ngapi?
Wewe hata siwezi kujadili kitu na wewe nenda Gemin AI kwenye taarifa zakoWacha uwongo, kawadanganye wanafamilia yako. Weka takwimu za dhahabu ambazo BOT walinunua hapa wakati wa Magufuli
Alizouza mama yako ndizo izonunuaSina shida na masoko, naulizia BOT kununua dhahabu je wakati wa Magufuli walinunua kilo ngapi?
Sasa umeandika pumba gani wewe jingaAkili za haters wa Samia itakuwa zimechanganyika na vichembevichembe vya mavi ya lissu, lema na kitima aisee.
Wacha usenge. Kadanganye familia yakoZote hizo alizouza samia leo
Mtu mwenyewe una wiki moja JF bado una kamba mguuni unabishana ushabiki wa Facebook. KwandraaaaaaAlizouza mama yako ndizo izonunua
Sasa mkuu hii ID kuwa mpya kunamfanya Samia ndiye awe aliyeanzisha kununua dhahabu!?Mtu mwenyewe una wiki moja JF bado una kamba mguuni unabishana ushabiki wa Facebook. Kwandraaaaaa
Watashindwaje kutoa 'like' kwenye ukweliSasa umeandika pumba gani wewe jinga
Alafu Kuna watu wamekupa like
Hii nchi Ina mazuzu kweli kama sio mazezeta