Taifa hili auHello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.
Itajulikana tu.Jeshi la Israel,limepigwa na wanamgambo.Hawa ni wanamgambo,wamewapiga,je ingekuwa wanajeshi,ingekuwaje.
Kuna maovu makubwa kuliko hayo ambayo Israel aliwahi kufanya kwa Mungu na hata kupewa adhabu kali ikiwa ni pamoja na kupelekwa utumwani babeli na Misri, lakini bado nafasi yake ya mzaliwa wa kwanza ipo palepale.
Kitabu cha Kutoka sura ya 4;Toa reference ya maandiko matakatifu yanayosema Israel ni mzaloliwa wa kwanza wa Mungu.
Kitabu cha Kutoka sura ya 4;[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti first born[emoji23][emoji23]please Go and read your Bible again. "The synagogue of Saturn " Jesus called them.
Hata kuandika neno la kiswahili kwa usahihi tu ni mtihani, vijana kama nyinyi ni hasara tu kwa taifa...Ujielewi
Muda ambao wataingana Bado snHapo ni mwanzo tu, ila waarabu wataungana na kumchapa Israeli, Hali yake itafanana na hali ya Ukraine.
Yaani kama tumerogwa,unakutana na mtu unamheshimu kabisa unakuta anapepeerusha bendera ya israel!![emoji38]Wanapoteza maisha ndugu zetu wengi tu hapo Congo DR lakini huwezj kusikia wala kuona chochote kwa miafrika hii ila litokee jambo Ulaya, Marekani au Uarabuni utasikia miafrika ileile inatuma salaam za rambirambi na kuwatakia kheri!!!
Ni unafiki na ujinga kutoona janga mlangoni kwako na kujifanya waliona la jirani yako!
Hivi nchi za mashariki ya mbali kama India,Japan,China,Mongolia n.k wao wana mawazo kama yako ya kufikiria mambo ya Ibrahim na kizazi chake.Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.
Chini ya jemedari Samia,Tanzania ni taifa teule, full stopTanzania hii iliyojaa majizi, mafisadi na mapiga dili kubwakubwa ikiwemo ile ya diipiii wedii ndo iwe taifa teule la Mungu?
Chini ya jemedari Samia,Tanzania ni taifa teule, full stop
Hivi nchi za mashariki ya mbali kama India,Japan,China,Mongolia n.k wao wana mawazo kama yako ya kufikiria mambo ya Ibrahim na kizazi chake.
Hiki kiburi mnachowapa waisraeli kuwa ni taifa teule linawapa kichwa sana
Usilazimishe imani yako kwa wengine.Nchi nilizotaja wala hawatambui uwepo wa huyu mungu wetu wana miungu yao na mambo yao yanakwenda fresh tu.
Mbwa wa mfalme hawezi kuwa mfalme wa mbwa wote
Joe Biden ndie anatoa vigezo vya ugaidi?Rejea statement ya rais Joe Biden kuhusu Isreal kuwa attacked na terrorists..
Achana na hilo jamaa jinga limelishwa maneno likaamini.Mzaliwa wa Mungu kwa mujibu wa nani?
Mzaliwa wa kwanza kwa Mujibu wa Biblia ni mwana wa Mungu wa kwanza ambaye ni kristo na kuna mzaliwa wa pili the same way wa tatu na kuendelea.
Mzaliwa wa kwanza wa watu/wanadamu ni yule kidini tunamuita Adamu ilihali hakuitwa haya majina haramu ya wazungu/waarabu na mzaliwa wa pili kwa wanadamu na kuendelea ni jinsi ngazi ya uzao toka kwa mtu wa kwanza mpaka wa mwisho kuja kuzaliwa inavyokwenda.
Kiufupi Muumba wa kweli hana mzaliwa pekee wala mzaliwa mmoja bali viumbe wote wa kiroho na kimwili ni wazaliwa wake yaani wana wa kwake.
Malaika ni wana wa Mungu, maserafi, makerubi mpaka wanadamu ni wana wa Mungu.
Huo mfumo wa kusema taifa fulan ni wana wa Mungu sijui au yesu ndie mwana pekee wa Mungu huo ni ushetani walioutunga wazungu wa kirumi waliobadiri maandiko kwa maslahi yao na ndio hawa hawa walishirikiana kuunda taifa la mchongo hapo middle east ili kutawala jamii za waarabu kisiasa na kiuchumi bila kusahau kiimani, kupitia uongo wallioutunga kwa kuwaaminisha watu.
Israel ya sasa sio lile taifa la Biblia maana hawa wamejiunda wao kwa maslahi yao wala hawana historia yoyote , ya kuishi hapo kwakuwa hata kihistoria Israel ya kweli haikuwepo eneo hilo la waarabu
Migogoro haitokwisha kati ya hao wazungu wanaojiita waisrael na hao waarabu, maana historia ilishawakataa hao jamaa kuwa wao si wa eneo hilo na wala wao si waisrael wa kweli, hivyo watabaki kuua raia bure kwa kuforce kukalia ardhi kimabavu na kulazimisha historia isiyo yao.
Inapenda kujipendekeza sana.Miafrika inaumia zaidi miarabu na miyahudi ikiuana kuliko wamatumbi wenzenu wakiuana. Hiyo miarabu na miyahudi haiwapi hata pole kwenye madhira yenu ila nyie kila siku mnashoboka mtakuja kuolewa.
Kinachoendelea huko kinasikitisha at all levels ila acha wafu wazikane
Alinyooka.Kwenye hili yule mzee hakutaka kuwa mnafiki.
Apumzike pema J.K. Nyerere
Mzee hakutaka unafiki.
Au kule kwa wamasai Olduvai Gorge.Et first born .si tunajua asili ya wanadamu ni serengeti
Angeachananayo tu hayajui.Dada huwa nakuambia mAsuala ya kimataifa achana nAyo.