Kuvamiwa kwa Israeli, mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mwenyezi, inaashiria nini kwa dunia?

Kwa akili tu ndogo Mungu apendelee watu flani tu haya mambo una yapata Afrika ndio maana atuendelei leo china wangekuwa na mawazo kama yako wasinge kuwa hapa walipo
 
Kwa akili tu ndogo Mungu apendelee watu flani tu haya mambo una yapata Afrika ndio maana atuendelei leo china wangekuwa na mawazo kama yako wasinge kuwa hapa walipo
Sijatunga mimi bali iko hivyo kwenye maandiko, huna haja ya kuwa na wivu, chuki na hasira.......vinginevyo utakuwa unamkasirikia Mungu😂😂

Kitabu cha Kutoka sura ya 4;
22 Nawe umwambie Farao, Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu;

23 nami nimekuambia, Mpe mwanangu ruhusa aende, ili apate kunitumikia, nawe umekataa kumpa ruhusa aende; angalia basi, mimi nitamwua mwanao, mzaliwa wa kwanza wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…