Muigai Jr
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,762
- 3,362
Nisaidie bila kujali umri...una umri gani kijana ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisaidie bila kujali umri...una umri gani kijana ?
Ndio maana siskii wakisema cctv km yale ya yule.Kuna viongozi wengine hukataa cctv camera nyumbani kwao na inasemekana na Mbowe alizima pia
Na ni kwa nini anamsemea?,kwani amevunjwa ulimi ama mguu?Ni mjinga tu atakae amini alichosema mnyika,sote tunajua mbowe alilewa
Usiseme sote, sema wewe. Usiwajumyishe watu wote kwenye ujinga wakoNi mjinga tu atakae amini alichosema mnyika,sote tunajua mbowe alilewa
Wanafunika kombe mwanaharamu apiteNa ni kwa nini anamsemea?,kwani amevunjwa ulimi ama mguu?
Kama hawakuweza kumsaidia Lissu aliyemiminiwa risasi 30 wangeliweza je kumsaidia Mbowe aliyevunjwa tu mguu?Mbowe alipopiga kelele za kuomba msaada, majirani zake walijibu au wali mute ?
Kwani alikuwa amewaambia wasilale wasubiri akifika atavamiwa apige kelele wasikie?Mbowe alipopiga kelele za kuomba msaada, majirani zake walijibu au wali mute ?
Mbowe ajitokeze aseme kilichotokea badala ya kutuma vibaraka wake kumjibiaHii taarifa ya Chadema ni muhimu sawa, ila imeletwa kishabiki sana hapa. Nashauri Chadema wailete kama ilivyo. Polisi wametumika vibaya sana kwenye suala hili. sijui kwanini polisi wameamua kutumika kwa kiasi hiki!
Nimesema Ni mjinga tu atakae amini uongo wa mnyika,sijakuosea.sasa wewe Ni huyo niliesema sikushangaiUsiseme sote, sema wewe. Usiwajumyishe watu wote kwenye ujinga wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama kweli unaamini Mbowe alipigwa na watu wasiojulikana, basi utakuwa mpumbavuHata kama alilewa nyumba anayoishi ina cctv ambazo zipo controled na serikali kwanini wasilete ushahidi wa video siku wakina siro watakapokuwa nje ya madaraka tutawashughulikia vibaya sana kwa upumbavu wanaofanya hawana kibali cha Mungu .
Sasa huoni kama wewe ndio mpumbavu?Wewe jamaa utakuwa marinda huna umempa jiwe kayatatua, maana mabandiko yako yote ni kutetea upuuzi na kuponda wapinzani hata wakiwa na hoja zenye mashiko.
leta ushahidi mkuu.Mbowe alilewa waache kumfichia aibu
Kila mtu anajua Mbowe ni mlevi wa kutupwa
Mwambieni huyo mseminari Mnyika aache kubwabwaja
Mahita anasameheka siro hapana icj inamhusu .Inanikumbusha enzi za Omari Mahita alionyesha visu vyenye mipini ya rangi zinazofanana na bendera ya cuf, akiaminisha watanzania eti vimeletwa kwa ajili ya kuanzishia fujo kipindi cha kampeni. Lile contena hata leo halijaonyeshwa, hivi kweli karne ya 21 bado watz wanalishwa matango pori !!!!!!. Baada ya kustaafu akaenda kuomba ubunge na aliachwa mapema tu. Ma IGP muogopeni muumba
Wewe ndiye mpumbavu kwa sababu una hoja za kipumbavu!Mkuu kama kweli unaamini Mbowe alipigwa na watu wasiojulikana, basi utakuwa mpumbavu
Pumbavu!Sasa huoni kama wewe ndio mpumbavu?
Yani kabisa mtu na akili zako unaamini Mbowe alipigwa?
leta ushahidi mkuu.