Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Wakati wako busy na siasa huko barabarani maisha ya watanzania yapo mikononi mwa madereva wa mabasi.
Sijapata kuona upuuzi wa namna hii kwenye maisha yangu.
Kumfungia dereva wa basi hapo kwa miezi sita kama adhabu ni sawa na slap on the wrist. Hao madereva wote wawili walitakiwa kwenda jela si chini ya miaka miwili.
Tena huyo aliekuwa anapigwa overtake ndio tatizo zaidi kuliko aliekuwa akifanya overtaking halafu ndio kaachwa bila ya adhabu yoyote, uwezi ongeza speed wakati unapigwa overtake that is manslaughter ajali ikitokea.
Ningelikuwa waziri wa ulinzi kuna sababu ya kuanzisha ‘vicarious liability’ dereva wa basi akileta ajali mwenye basi anashitakiwa na kulipa fidia kwa wahanga this is unacceptable.