Kuvamiwa kwa Mbowe: CHADEMA yacharuka, Mnyika amvaa IGP amuonya kuhusu uongo unaotengenezwa na Jeshi la Polisi

View attachment 1488940

Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika leo ametoa kauli kali ambayo ndio kauli halali ya Chama chake kuhusiana na Propaganda za kishamba zinazosambazwa na Jeshi la polisi zikiongozwa na IGP Sirro mwenyewe kuhusiana na shambulizi alilofanyiwa Mh Mbowe na Watu waliotumwa kumdhuru .

Hakuna ushahidi wowote kwamba Mbowe alilewa kama Sirro na waliomtuma wanavyoropoka mitaani , tarehe 8 na 9 June Mh Mbowe hakuwahi kukanyaga Royal Village Hotel kama watunga uongo wanavyodai , na kama kuna anayebisha alete ushahidi wa Mh Mbowe kuwepo eneo hilo kwa tarehe zilizotajwa kama waongo wanavyodai , Hakuna mtu yeyote kati ya wapiga kelele akiwemo Ndugai au Sirro wanaoweza kuthibitisha jambo hilo , wala hakuna Daktari hata mmoja katika waliomtibu Mbowe aliyethibitisha hilo , bali uongo huu unaosimamiwa na IGP kwa kulishwa maneno na Ndugai umeletwa makusudi kwa lengo la kuzima uchunguzi wa kuvamiwa kishamba kwa Mh Mbowe , kama Sirro ana ushahidi auweke hadharani .

Natoa wito kwa Chadema kumchukulia hatua IGP Sirro kwa kujiingiza kwenye siasa tena kwa kutumia Mguu wa kushoto , ikiwa Sirro anahitaji uongozi wa kisiasa basi amuombe Mwenyekiti wake wa ccm amruhusu ili tupambane naye majukwaani , Asijiingize bila taarifa ili asitumbuliwe .
Mbowe anatetewa na walevi wenzake
 
Chama kimejaa walevi tupu yaani wahuni bin sawia waongo waongolezi mazimbwete maliwawaya
 
They cant prove ulevi... but cant prove kuvamiwa na kupigwa pia.
Kwanza, kwa hii lugha, hilo jina unalolitumia laweza kuwa ama ni lako au ni la ukoo. Kama ni lako...
Pili, hivi huyu Sirro anayetajwa hapa ndiye yule yule aliyewahi kutajwa na Bashite kwamba ana tuhuma ya kuhusika na biashara ya madawa? Kama ni yeye...
 
Nawewe jina kama ni lako .......
Kwanza, kwa hii lugha, hilo jina unalolitumia laweza kuwa ama ni lako au ni la ukoo. Kama ni lako...
Pili, hivi huyu Sirro anayetajwa hapa ndiye yule yule aliyewahi kutajwa na Bashite kwamba ana tuhuma ya kuhusika na biashara ya madawa? Kama ni yeye...
 
View attachment 1488940

Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika leo ametoa kauli kali ambayo ndio kauli halali ya Chama chake kuhusiana na Propaganda za kishamba zinazosambazwa na Jeshi la polisi zikiongozwa na IGP Sirro mwenyewe kuhusiana na shambulizi alilofanyiwa Mh Mbowe na Watu waliotumwa kumdhuru .

Hakuna ushahidi wowote kwamba Mbowe alilewa kama Sirro na waliomtuma wanavyoropoka mitaani , tarehe 8 na 9 June Mh Mbowe hakuwahi kukanyaga Royal Village Hotel kama watunga uongo wanavyodai , na kama kuna anayebisha alete ushahidi wa Mh Mbowe kuwepo eneo hilo kwa tarehe zilizotajwa kama waongo wanavyodai , Hakuna mtu yeyote kati ya wapiga kelele akiwemo Ndugai au Sirro wanaoweza kuthibitisha jambo hilo , wala hakuna Daktari hata mmoja katika waliomtibu Mbowe aliyethibitisha hilo , bali uongo huu unaosimamiwa na IGP kwa kulishwa maneno na Ndugai umeletwa makusudi kwa lengo la kuzima uchunguzi wa kuvamiwa kishamba kwa Mh Mbowe , kama Sirro ana ushahidi auweke hadharani .

Natoa wito kwa Chadema kumchukulia hatua IGP Sirro kwa kujiingiza kwenye siasa tena kwa kutumia Mguu wa kushoto , ikiwa Sirro anahitaji uongozi wa kisiasa basi amuombe Mwenyekiti wake wa ccm amruhusu ili tupambane naye majukwaani , Asijiingize bila taarifa ili asitumbuliwe .

Kwani siasa ni kusema uongo au kuleta maigizo ya kupata kiki kisiasa?
 
Mbowe alilewa waache kumfichia aibu
Kila mtu anajua Mbowe ni mlevi wa kutupwa
Mwambieni huyo mseminari Mnyika aache kubwabwaja
Kila mtu yupi anajua mbowe alilewa? Usifikiri watanzania ni wajinga wanaamini propaganda za CCM kiwepesi hivyo.
 
Polisi wataumbuka kwa Mara nyingine tena, Bahati mbaya wameshaongea wote, hawakuweka akiba, hakuna wa kusahihisha. Mbowe hakukanyaga 'Royal Village' siku hiyo na wameshatazama ushahidi wa camera za Royal Bila Shaka! Labda waje na zile cctv za MO ambazo zinatoa picha za rangi!-Jon Mrema on twitter.

"RPC wa Dodoma kabla hajazungumza na vyombo vya habari, alfajiri ya tukio alikwenda hospitali pamoja na mazingira ya maumivu na matibabu aliyokuwa nayo Mbowe, alizungumza nae, alienda eneo la tukio, alijua undani wa tukio, ndio maana alikiri Mbowe amefanyiwa shambulio" -John Mnyika
RPC mroto alitishiwa kuhamishiwa lindi ama kwenda kusoma magazeti makao makuu ndiyo maana akabadili kauli zake lakini anaujua ukweli barabaraa.
 
Kwani wewe ulikuwepo?
IGP The Hague inambeep sana, Tundu lisu na wanasheria wa chadema pamoja na wanasheria wengine wa kimataifa wapo mbioni kumfungulia kesi kwenye mahakama ya uhalifu wa kimataifa The Hague.
 
Inanikumbusha enzi za Omari Mahita alionyesha visu vyenye mipini ya rangi zinazofanana na bendera ya cuf, akiaminisha watanzania eti vimeletwa kwa ajili ya kuanzishia fujo kipindi cha kampeni. Lile contena hata leo halijaonyeshwa, hivi kweli karne ya 21 bado watz wanalishwa matango pori !!!!!!. Baada ya kustaafu akaenda kuomba ubunge na aliachwa mapema tu. Ma IGP muogopeni muumba
IGP mahita anaishi kwa shida sasa hana kitu anategemea kinua mgongo tu laana za wapinzani zilimtafuna sana.
 
Nimejitahidi kusoma mara 2-3 lakini ata sijaona kauli ya maana zaidi ya taarabu tu!
Headline kubwa kweli lakini hyo stori sasa! Bora ata taarabu za Hayati Bi Kidude
Ukiwa umekariri zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM ni vigumu kusoma vya wapinzani ukavielewa
 
Mbowe alipopiga kelele za kuomba msaada, majirani zake walijibu au wali mute ?
Aliyempiga mbowe ni lijuakali na Msukuma na mtu mmoja Asiyejulikana, walivaa mask asiwatambue haraka hata shambulio walifanya kwa haraka sana huku wakiogopa kuonekana na kukimbia wakatokomea mle mle kwenye nyumba zao. Wataumbuka tu kwani chadema wanaenda kusoma Albadiri kwa kila mwana CCM anayewahujumu kuwaonea.
 
Bro nitajie mmoja anayeweza kuthibitisha kama kapigwa..
Home kwake....
Asipige kelele majirani wasimsaidie..
Labda hakulewa but pia hakupigwa may be
Kila mtu yupi anajua mbowe alilewa? Usifikiri watanzania ni wajinga wanaamini propaganda za CCM kiwepesi hivyo.
 
Aliyempiga mbowe ni lijuakali na Msukuma na mtu mmoja Asiyejulikana, walivaa mask asiwatambue haraka hata shambulio walifanya kwa haraka sana huku wakiogopa kuonekana na kukimbia wakatokomea mle mle kwenye nyumba zao. Wataumbuka tu kwani chadema wanaenda kusoma Albadiri kwa kila mwana CCM anayewahujumu kuwaonea.
Mnatetea lilevi kazi mnayo
 
Ndugai yule mgonjwa lini ameweza kufikiri sawasawa toka augue ugonjwa mbaya kuliko yote duniani hadi akatibiwa kwa dola milioni 12? Hivi toka akimbie seminari aliehuka tunajua.
 
Mbowe alipopiga kelele za kuomba msaada, majirani zake walijibu au wali mute ?
Umalaya wa kisiasa unawafanya kuwa wapumbavu sana. Kama risasi alizoshambuliwa Lisu hawakusikia mchana kweupe watasikia kelele za mbowe usiku?. Sisi mijitu meusi mizito hata kufikili kwetu.
 
Back
Top Bottom