Kuvamiwa kwa Mbowe: CHADEMA yacharuka, Mnyika amvaa IGP amuonya kuhusu uongo unaotengenezwa na Jeshi la Polisi

Kwani Mbowe hana mdomo?
Kwanini asitokee mwenyewe ajitetee badala ya kina Mnyika kutumia nguvu nyingi kumtetea mwenyekiti
 
Siro nina uhakika ni kamanda ambaye hapo zamani aluthibitisha ni kamanda ambaye amekuwa na weledi na akili znuri. Sijui ametokewa na nini hata kuingia kwenye utoaji wa kauli za ajabu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii taarifa ya Chadema ni muhimu sawa, ila imeletwa kishabiki sana hapa. Nashauri Chadema wailete kama ilivyo. Polisi wametumika vibaya sana kwenye suala hili. sijui kwanini polisi wameamua kutumika kwa kiasi hiki!
 
Ila kwa hili la kuanguka Mbowe, kwakweli limeaibisha chama na uanachama wote. CDM ninavyowajua kama Mbowe angekua amepigwa wangeongea mpaka tungejuta hahaa ila kwa kuwa ni nguvu ya pombe aah wapo kimya wanarusharusha miguu tuu
 
Hii taarifa ya Chadema ni muhimu sawa, ila imeletwa kishabiki sana hapa. Nashauri Chadema wailete kama ilivyo. Polisi wametumika vibaya sana kwenye suala hili. sijui kwanini polisi wameamua kutumika kwa kiasi hiki!
Mbowe ajitokeze aseme kilichotokea badala ya kutuma vibaraka wake kumjibia
 
Hata kama alilewa nyumba anayoishi ina cctv ambazo zipo controled na serikali kwanini wasilete ushahidi wa video siku wakina siro watakapokuwa nje ya madaraka tutawashughulikia vibaya sana kwa upumbavu wanaofanya hawana kibali cha Mungu .
Mkuu kama kweli unaamini Mbowe alipigwa na watu wasiojulikana, basi utakuwa mpumbavu
 
Wewe jamaa utakuwa marinda huna umempa jiwe kayatatua, maana mabandiko yako yote ni kutetea upuuzi na kuponda wapinzani hata wakiwa na hoja zenye mashiko.
Sasa huoni kama wewe ndio mpumbavu?

Yani kabisa mtu na akili zako unaamini Mbowe alipigwa?
 
M Mahita anasameheka siro hapana icj inamhusu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…