nakuunga mkono, mimi nafikiri kama DJ hakulewa Konyagi na kama usiku huo wa manane hakutoka nje ina maana alikuwa ndani mwake na watesi wake walivunja nyumba yake na kumtoa nje na kumpiga? na je nyumba za wabunge si zina ulinzi wa askari walikuwa wapi?
pili, kama DJ alitoka nje mwenyewe akaenda kulewa na wakati anarudi ndo akapigwa ina maana watesi wake walikula nae sahani moja na kumfuatilia siku nzima hadi walipopata chance ya kumdunda?
tatu je kama DJ hakudukuliwa mawasiliano yake ilikuwaje watesi wake wajue atatoka nje saa saba usiku huo na wakajiandaa kumshughulikia na kwanini hawakumpora chochote maana yake hawakuwa majambawazi?
nne DJ kama ni mwanaume kweli na kama hakuwa amelewa kwanini hakupanga nao mkono akakubali kiboya tu kuchakazwa?
My take: wengine tuna akili jamani DJ kweli kaonewa ila pia ni mzinzi na mlevi wa kutupwa na ni dhulumati anaiba pesa za ruzuku na zile wanazochanga wabunge! karma at work!!