Kuvamiwa kwa Mbowe: CHADEMA yacharuka, Mnyika amvaa IGP amuonya kuhusu uongo unaotengenezwa na Jeshi la Polisi

Kuvamiwa kwa Mbowe: CHADEMA yacharuka, Mnyika amvaa IGP amuonya kuhusu uongo unaotengenezwa na Jeshi la Polisi

Tunaomba muweke hadharani na ile video ya mabomu ya Arusha!

Yani chadema walivyo wakuda wawe na video wakae kimya tuuu hiyo haiwezi tokea kamwe!
 
Mnyika aachekuwafanya watanzania wajinga! Hivi katika mazingira ya sasa unahitaji ruhusa ya polis kukupa ruhusa kuachia clip ya kupigwa kwa Mbowe kama kweli ipoooo'!
 
hivi Chadema si waweke tu hiyo video clip tuache kuzungumza wanasubiri nini, DJ ni mwizi wa ruzuku na pesa za michango, ni mlevi na mzinzi mpenda rushwa za ngono za viti maalum na tayari kafundisha wenzake kusema uongo na unafki na uzandiki!! Mnyaka yule aliegombea ubunge wa ubungo na kushindwa tukiwa tunasoma nae pale mlimani wakati ule hakuwa mnyaka huyu amekuwa Makapi tu sasa!
Hata Mbowe mwenyewe kwanini asiseme ukweli! Kwahili CDM watapoteza uaminifu machoni pa watanzania wengi.
 
Mapovu matupu, unataka Mbowe awalee kama watoto wanachama wake, yaani awe anaishi nao nyumba moja ama?!

Anayetakiwa kujiunga na chama cha siasa anatakiwa awe na miaka 18 na kuendelea, sasa hizo tuhuma zako kuhusu huyo Mnyaka kawaulize wazazi wake nyendo za mtoto wao, sio Mbowe, kama aliluwa bado mtoto hakuyakiwa kujiunga Chadema.

Suala la ulevi najua hizo kelele utakuwa umemuiga IGP, uzinzi sijui wewe ndio ulikuwa unatumwa kinga!.
 
Lile sakata la bomu la Arusha si walisemaga walikuwa clip! Waliwahi kuziweka wazi?

Hii ni zaidi ya usanii. Spika kasema bungeni kuwa mbowe kapata ajali kilevi, kama walikuwa na ushahidi kupinga kauli ya spika walisubiri nini kuumwaga.

Kati ya vitu atakavyokuja kujutia maishani mnyika ni pamoja na kukubali wadhifa wa KM wa chama.
 
Huna lolote wewe kapuku !
 
Wana
Safi sana hiyo ndio inayotakiwa siyo kuja kumtetea tu mwenyekiti kwa maneno matupu!

Ila waangalie wasije wakaumbuka.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Wanasubiri nini kuweka wazi siku zimepita hivyo? awadanganye wanasaccos wenzake tunajua ni mlevi wa kutupwa na pia fuska ndiyo mambo mawili yanamsumbua Mbowe!! Hasafishiki!!
 
Hata Mbowe mwenyewe kwanini asiseme ukweli! Kwahili CDM watapoteza uaminifu machoni pa watanzania wengi.
unamuini Sirro ? kumbuka na hii hapa
1880390_Dp2wwLmWkAAUZ-1.jpg_large.jpg
 
Kila kitu kitawekwa wazi na wananchi wataujua ukweli.

Siro ni mpuuzi sana, amejidhalilisha mno na kujiondelea heshima yake katika jamii aliyokua nayo kabla. Anadhani ataendelea kutumika kama KONDOMU ya CCM kwa miaka yote? Shame on himi.
 
Safi sana hiyo ndio inayotakiwa siyo kuja kumtetea tu mwenyekiti kwa maneno matupu!

Ila waangalie wasije wakaumbuka.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Dogo unahangaika sana kutetea CCM. Nashauri (kwa nia njema tu) msitumike kama KONDOMU, mtaishia kutupiliwa mbali kama Magesa Mulungo na GAMBO. Hebu jaribuni kufikirisha akili zenu badala ya MASUBURI basi.
 
Toweni hiyo video acheni blah blah!

Mpaka leo tunasubiri ile ya mabomu Arusha.

Mnyika hadhi yako inaporomoka kwa kasi sana, kila uchao...acha kutumika.[emoji116]View attachment 1489485

Back
Top Bottom