hamna bhana mbowe alilewa kweli, konyagi ukipiga vizuri waweza ona wafu wanakujia ukajikurupukia bureKila kitu kitawekwa wazi na wananchi wataujua ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hamna bhana mbowe alilewa kweli, konyagi ukipiga vizuri waweza ona wafu wanakujia ukajikurupukia bureKila kitu kitawekwa wazi na wananchi wataujua ukweli.
Eti mnyaka, poor you! Hujielewi na ndio maana hata kanuni za kuandika majina ya watu huzijui. Foundation education yako inatia shaka. Usihukumu mtu, maana nawe utahukumiwa.hivi Chadema si waweke tu hiyo video clip tuache kuzungumza wanasubiri nini, DJ ni mwizi wa ruzuku na pesa za michango, ni mlevi na mzinzi mpenda rushwa za ngono za viti maalum na tayari kafundisha wenzake kusema uongo na unafki na uzandiki!! Mnyaka yule aliegombea ubunge wa ubungo na kushindwa tukiwa tunasoma nae pale mlimani wakati ule hakuwa mnyaka huyu amekuwa Makapi tu sasa!
Chapombe mwenzanguSiyo mumeo?
Wao wako busy kutetea ulevi wa MboweWenzenu ACT wazalendo wameshaanza kampeni!
Hata wewe uwaharamu ndio ukasema hayo uliyoyaandika.hivi Chadema si waweke tu hiyo video clip tuache kuzungumza wanasubiri nini, DJ ni mwizi wa ruzuku na pesa za michango, ni mlevi na mzinzi mpenda rushwa za ngono za viti maalum na tayari kafundisha wenzake kusema uongo na unafki na uzandiki!! Mnyaka yule aliegombea ubunge wa ubungo na kushindwa tukiwa tunasoma nae pale mlimani wakati ule hakuwa mnyaka huyu amekuwa Makapi tu sasa!
Wenzenu wako busy kuweka mikakati ya ushindi hapo oktoba nyie mko busy kutetea ulevi wa Mwenyekiti wenu?Tuliza kidonda wewe chief wa wasukuma afanye yake. View attachment 1489513
Unajitahidi! Umeahidiwa ajira?Mmh sinema iitwayo UTOPOLONI...
Mbowe ni mlevi ni mzee wa konyagikijana inaonekana unamjua sana mbowe ulisha lala nae nn
G8Mwanachama wa nini?
Poleni sanaChadema hatuna wanachama mazwazwa
Kila kitu kitawekwa wazi na wananchi wataujua ukweli.
Najiukiza kwa nini Mbowe mhusika anakaa kimya, ila watu wake? Isije kuwa nia yao siyo nzuri kuendelea kumtetea! Au ni utetezi wa kinafiki!Safi sana hiyo ndio inayotakiwa siyo kuja kumtetea tu mwenyekiti kwa maneno matupu!
Ila waangalie wasije wakaumbuka.
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Vipi video inayoonyesha alilewa iko wapi mbona hawaitoi police?
Wenzenu wako busy kuweka mikakati ya ushindi hapo oktoba nyie mko busy kutetea ulevi wa Mwenyekiti wenu?
Yani mnazidiwa akili hata na Zitto Kabwe?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Lugha hiyo inatoa picha ya kiwango cha ufahamu wa WanaCHADEMAHuna lolote wewe kapuku !
Mpare anawezaje kuwa Chief wa Wasukuma labda wa wamawia!!Kudadadeeeki hata kuandika jina tu la chief wa wasukuma unashindwa View attachment 1489514
Nasukumwa na kukipenda chama kidhati TU...Unajitahidi! Umeahidiwa ajira?
Niliwahi kusema kama police wangekuwa makini usiku ule wangerekodi mahojiano yake pia wangechukua taarifa ya dakitari wakati huo na vipimo vya pombe ili asije kurukaruka,
Wanapinga kwa kuwa pengine wanajua police hawakuchukua taarifa za dakitali .
Mara kadhaa nimewataka watumie mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kueneza agenda zao za Uchaguzi Mkuu lakini wanaendekeza lawama na shutuma dhidi ya Serikali. Sasa wanahangaika kumsafisha mlevi na fusukaWenzenu wako busy kuweka mikakati ya ushindi hapo oktoba nyie mko busy kutetea ulevi wa Mwenyekiti wenu?
Yani mnazidiwa akili hata na Zitto Kabwe?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app