Kuvamiwa kwa Mbowe: CHADEMA yacharuka, Mnyika amvaa IGP amuonya kuhusu uongo unaotengenezwa na Jeshi la Polisi

Kuvamiwa kwa Mbowe: CHADEMA yacharuka, Mnyika amvaa IGP amuonya kuhusu uongo unaotengenezwa na Jeshi la Polisi

hivi Chadema si waweke tu hiyo video clip tuache kuzungumza wanasubiri nini, DJ ni mwizi wa ruzuku na pesa za michango, ni mlevi na mzinzi mpenda rushwa za ngono za viti maalum na tayari kafundisha wenzake kusema uongo na unafki na uzandiki!! Mnyaka yule aliegombea ubunge wa ubungo na kushindwa tukiwa tunasoma nae pale mlimani wakati ule hakuwa mnyaka huyu amekuwa Makapi tu sasa!
Eti mnyaka, poor you! Hujielewi na ndio maana hata kanuni za kuandika majina ya watu huzijui. Foundation education yako inatia shaka. Usihukumu mtu, maana nawe utahukumiwa.
 
hivi Chadema si waweke tu hiyo video clip tuache kuzungumza wanasubiri nini, DJ ni mwizi wa ruzuku na pesa za michango, ni mlevi na mzinzi mpenda rushwa za ngono za viti maalum na tayari kafundisha wenzake kusema uongo na unafki na uzandiki!! Mnyaka yule aliegombea ubunge wa ubungo na kushindwa tukiwa tunasoma nae pale mlimani wakati ule hakuwa mnyaka huyu amekuwa Makapi tu sasa!
Hata wewe uwaharamu ndio ukasema hayo uliyoyaandika.
Muulize mzazi wako wakike akuomeshe babayko wa halali
 
Safi sana hiyo ndio inayotakiwa siyo kuja kumtetea tu mwenyekiti kwa maneno matupu!

Ila waangalie wasije wakaumbuka.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Najiukiza kwa nini Mbowe mhusika anakaa kimya, ila watu wake? Isije kuwa nia yao siyo nzuri kuendelea kumtetea! Au ni utetezi wa kinafiki!
 
Nyie hamna lolote mshanifia kwendeni zenu huko na mastori yenu ya uongo uongo na mlevi wenu.
 
Vipi video inayoonyesha alilewa iko wapi mbona hawaitoi police?

Niliwahi kusema kama police wangekuwa makini usiku ule wangerekodi mahojiano yake pia wangechukua taarifa ya dakitari wakati huo na vipimo vya pombe ili asije kurukaruka,
Wanapinga kwa kuwa pengine wanajua police hawakuchukua taarifa za dakitali .
 
Haijalishi hata kama hawakuchukua ushahidi wa daktari, ambavyo siamini, wanaweza kufanya vipimo tena (km kuvunjika mguu kwa taarifa ya Mnyika) iwapo kutahitajika ushahidi huo.
 
Wenzenu wako busy kuweka mikakati ya ushindi hapo oktoba nyie mko busy kutetea ulevi wa Mwenyekiti wenu?

Yani mnazidiwa akili hata na Zitto Kabwe?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Mara kadhaa nimewataka watumie mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kueneza agenda zao za Uchaguzi Mkuu lakini wanaendekeza lawama na shutuma dhidi ya Serikali. Sasa wanahangaika kumsafisha mlevi na fusuka
 
Back
Top Bottom