Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
FactTujiulize Kwanini Mwenyekiti aligomea cctv nyumbani kwake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FactTujiulize Kwanini Mwenyekiti aligomea cctv nyumbani kwake?
Hata Mbowe mwenyewe kwanini asiseme ukweli! Kwahili CDM watapoteza uaminifu machoni pa watanzania wengi.hivi Chadema si waweke tu hiyo video clip tuache kuzungumza wanasubiri nini, DJ ni mwizi wa ruzuku na pesa za michango, ni mlevi na mzinzi mpenda rushwa za ngono za viti maalum na tayari kafundisha wenzake kusema uongo na unafki na uzandiki!! Mnyaka yule aliegombea ubunge wa ubungo na kushindwa tukiwa tunasoma nae pale mlimani wakati ule hakuwa mnyaka huyu amekuwa Makapi tu sasa!
Mapovu matupu, unataka Mbowe awalee kama watoto wanachama wake, yaani awe anaishi nao nyumba moja ama?!hivi Chadema si waweke tu hiyo video clip tuache kuzungumza wanasubiri nini, DJ ni mwizi wa ruzuku na pesa za michango, ni mlevi na mzinzi mpenda rushwa za ngono za viti maalum na tayari kafundisha wenzake kusema uongo na unafki na uzandiki!! Mnyaka yule aliegombea ubunge wa ubungo na kushindwa tukiwa tunasoma nae pale mlimani wakati ule hakuwa mnyaka huyu amekuwa Makapi tu sasa!
Lile sakata la bomu la Arusha si walisemaga walikuwa clip! Waliwahi kuziweka wazi?
Kila kitu kitawekwa wazi na wananchi wataujua ukweli.
Huna lolote wewe kapuku !Hii ni zaidi ya usanii. Spika kasema bungeni kuwa mbowe kapata ajali kilevi, kama walikuwa na ushahidi kupinga kauli ya spika walisubiri nini kuumwaga.
Kati ya vitu atakavyokuja kujutia maishani mnyika ni pamoja na kukubali wadhifa wa KM wa chama.
Wanasubiri nini kuweka wazi siku zimepita hivyo? awadanganye wanasaccos wenzake tunajua ni mlevi wa kutupwa na pia fuska ndiyo mambo mawili yanamsumbua Mbowe!! Hasafishiki!!Safi sana hiyo ndio inayotakiwa siyo kuja kumtetea tu mwenyekiti kwa maneno matupu!
Ila waangalie wasije wakaumbuka.
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Umesikia harufu au??Kimenuka !
Tulia wewe masikini , kama hujawahi kusikia IGP anajiuzulu kwa aibu basi sasa ndio utasikiaUmesikia harufu au??
unamuini Sirro ? kumbuka na hii hapaHata Mbowe mwenyewe kwanini asiseme ukweli! Kwahili CDM watapoteza uaminifu machoni pa watanzania wengi.
Huna lolote wewe kapuku !
Kila kitu kitawekwa wazi na wananchi wataujua ukweli.
Tangu lini Sirro akaaminika ?Punguza munkari mkuu, si kitu chema kwa afya yako.
tunajua ni mlevi wa kutupwa na pia fuska ndiyo mambo mawili yanamsumbua Mbowe!! Hasafishiki!!
Tangu lini Sirro akaaminika ?View attachment 1489473
Dogo unahangaika sana kutetea CCM. Nashauri (kwa nia njema tu) msitumike kama KONDOMU, mtaishia kutupiliwa mbali kama Magesa Mulungo na GAMBO. Hebu jaribuni kufikirisha akili zenu badala ya MASUBURI basi.Safi sana hiyo ndio inayotakiwa siyo kuja kumtetea tu mwenyekiti kwa maneno matupu!
Ila waangalie wasije wakaumbuka.
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Dogo unahangaika sana kutetea CCM. Nashauri (kwa nia njema tu) msitumike kama KONDOMU, mtaishia kutupiliwa mbali kama Magesa Mulungo na GAMBO. Hebu jaribuni kufikirisha akili zenu badala ya MASUBURI basi.Toweni hiyo video acheni blah blah!
Mpaka leo tunasubiri ile ya mabomu Arusha.
Mnyika hadhi yako inaporomoka kwa kasi sana, kila uchao...acha kutumika.[emoji116]View attachment 1489485