Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Matapeli hao, tena wanasema sasa hivi ulipie kabisa mzigo, sijui cyber Crime wapo wapo tu ama nao ndio hawa, inakuwaje wanawaachia matapeli mtaa wa samora Dar kujifanya wapo Zanziabr?Huyo kasharipotiwa na kufungiwa na cjui anahonga nn hadi insta wanamfungulia na page yake anaipromote sponsors[emoji23] daily ana add new followers View attachment 1461753
Halafu mimi sinunuagi kitu onlin mzee kabisa, habari ya manunuzi ya online siiitaki hata.Siyo Roho Ngumu Mzee.
Wengi tunatapeliwa, so kwa kuwa ashapoteza pesa, ajiangalie sana ASIPOTEZE PESA ZAIDI au MUDA.
Sasa hawa matapeli wana lugha nzuri sana alafu wanakuambia iphone from UK, kama wateja wake wengi ni wa Dar kwanini haji kufungua duka DAr?Wazee hivi wewe mtu hamjawahi kuonana wala mtu humjui unamtumia hela akuletee mzigo mkoani kweli! Asee mi ni bora nikaenda dukani mwenyewe tu! Kuliko kutuma hela kwa mtu asiyejulikana au umeshindwa mwambie ndugu yako ambaye yupo huo mkoa mtumie hiyo hela yeye ndo aende direct kwa huyo muuzaji
Yani dah! Pole sana
mimi huwa nanunua ebay, they are trustworthy ila tu, unaweza letewa bidhaa usi ipende na ushailipiaHalafu mimi sinunuagi kitu onlin mzee kabisa, habari ya manunuzi ya online siiitaki hata.
Hapo ndipo Mwanaume wa Dar anapowazidi wa mikoani ( BRAIN 🧠)
Hana shida yule kijana he’s in our favour ...isingekua hivo asingekuwepo mpka sasa hivi ( unakumbuka figisu la madawa ya kulevya ? KIMYAA)Na wanaume wa dar sasa wanakimbizwa na kijana wa kutoka Kolomije(mkoani) yaani akikohoa tu jiji zima kimyaaaa.
Kwani ukiletewa bidhaa ambayo hauitaki hupashwi kuirudisha?mimi huwa nanunua ebay, they are trustworthy ila tu, unaweza letewa bidhaa usi ipende na ushailipia
Hairudishwi ndugu, wanakwambia lipa kabisa na hela ya delivery, ikija ni yako.Kwani ukiletewa bidhaa ambayo hauitaki hupashwi kuirudisha?
Word, hii ni "wazo zuri" na kiukweli unaweza andikia proposal ukawauizia kampuni ya simu, wawe mtu wa kati, na fedha zikae "escrow account"Online ni nzuri, shida ni kukosekana kwa refa kama paypal. Haya makampuni ya simu kwa nn yasianzishe hii kitu, yani ili mtu atoe pesa lazima mtumaji atoe go ahead baada ya kupata mzigo, yani aliyetumiwa pesa hawezi kutoa pesa . Naona hii itasaidia, nyie voda chukueni hii.
Idea nzuri sana hii mkuu.Online ni nzuri, shida ni kukosekana kwa refa kama paypal. Haya makampuni ya simu kwa nn yasianzishe hii kitu, yani ili mtu atoe pesa lazima mtumaji atoe go ahead baada ya kupata mzigo, yani aliyetumiwa pesa hawezi kutoa pesa . Naona hii itasaidia, nyie voda chukueni hii.
sidhan kama kabila linahusika hapa rafiki....lekaga etuja nkoi!!pia kumbuka kila baba ana baba yake#obhejaWasukuma mtaendelea kupigwa kila siku