Kuwa Makini: Kuna Matapeli huko Instagram wanaodai kuuza iPhone na Smart TV etc wakidai wapo Pemba au Zanzibar

Pole sana mkuu, Na stori yetu ya utapeli ikaishia hapo.
 
Kabisa mkuu unakuta mtu anataka i.s.t new model kwa dola 1000 kwa nini asipate matapeli japan hapo!!

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Ukishakuwa mtu wa kupenda virahisi lazima uumizwe
Mfano kwenye biashara ya magari ogopa wale wanaokuja Mida ya jioni Mida ofisi zishafungwa
Wanakujaga na bei za kukuungiza kingi ujae

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Biashara ya mtandaoni we muulize tu muuzaji uko wapi?Akikutajia alipo mwambie akusubiri hapohapo Dukani kwake kuna mtu umemuagiza .utakuta anapotea
 
Hii Mbinu mkuu ndio ya kutumia siku zote.Licha ya kuibiwa kwenye simu kuna watu kila siku wanaibiwa elfu tanotano na wadada fake wa mtandaoni
 
Hii Mbinu mkuu ndio ya kutumia siku zote.Licha ya kuibiwa kwenye simu kuna watu kila siku wanaibiwa elfu tanotano na wadada fake wa mtandaoni
 
kwahiyo umeingizwa town na kupigwa dole la kati na mwanaume wa dar kiboya namna hiyo???
 
Polisi wanakuambia lete 50k tupate Details toka kwenye Makampuni ya Simu tupewe Location. Baadae lete 50k tena ya Ukamataji na Blah Blah kibao


Mwisho wa Siku Gharama inafka uliyo tapeliwa na simu huipati
Na huu unakua utapeli mwingine.
 
Daah mi Kuna simu nlitaka kuagiza kutoka Kenya,jamaa Wana cheap phone's almost 150k difference kwa Bei ya hapa bongo ila nmesita...msemo wa cheap is expensive
Yule ni tapeli usijaribu, anakuambia utume kwanza pesa, usijaribu kabisa.
Tuziheshimu pesa zetu, ili nazo zituheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…