Kuwa Makini: Kuna Matapeli huko Instagram wanaodai kuuza iPhone na Smart TV etc wakidai wapo Pemba au Zanzibar

Huo mtaa unaitwa Mwembe ladu.. sio mwembe radu...

Maduka ya sim yapo mpaka njia ya mlandege.. ..ila sio simu za aina hiyo..

Na duka la Muzammil lipo..kiponda...huyo tapeli nahisi hayupo hata huko znz.. ... ila labda aende polisi kufatilia..au..kampuni ya simu!

Vinginevyo..ashukuru tu Mungu..ndio kesha funzwa upevuni!
 
Hapo Novena au Albadri tu 😲Mshtakie Mungu 👍
 
khaaaaa....
Yaaani ukishaona Mtu anauza bidhaa hasa electronics Anadai ana Duka na ni nje ya Dar halafu haanzi kwa kutaja exact location Anajinadi kusema popote tunakutumia, Anza kutumia akili yako vizurii....

UNACHEMKA!

ONLINE business haihitaji uwe na duka la tofali na cement, brick and mortar store.

Jeff Bezos, bilionea nguli la kwanza duniani, lilipoanza kuunga unga biashara za mitandaoni hakuna mteja aliyemuuliza dukani kwako wapi? Nyumbani kwako wapi? Ubini wako nani? Hakuwa na duka wala nyumba!

ALI BABA, Mchina tajiri mnyambilis, katusaidia vifaa chakavu vya Corona majuzi kati, anauza mashine za viwanda mtandaoni, unamtangulizia hela ma dollar mamilioni, unamjua dukani kwake?

Online business, by definition, HAKUNA KUKUTANA, HAKUNA KUJUANA!
 
Ila kuna wana roho ngumu aisee..

430k unatuma kwa kuridhika na maelezo bongo hii?

Mimi hata buku tukikutana kwenye mtandao situmi..

Bora niingie moja kwa moja Alibaba ila sio futuhi kwa mtu ambaye hata huna lolote unalofahamu juu yake
 
We ni "Boya" sina la kuongeza!
 
Mkuu unanifundisha Maana ya online business?

Haya mazingira unayozungumzia hapa ni katika next level za uaminifu, na kama umeona pale nimesema kabisa ki "africa", Nikiondoa kabisa hawa wenzetu ambao ndio biashara zao zinazowatambulisha.

Na nimeagiza na bado naagiza mizigo mingi online,

Wewe unamzungumzia Jeff bezo,
Mtu anayejulikana, Biashara na kazi yake inajulikana na ina eleweka na security zote zinaeleweka..

Haya Huyu aliemuuzia mtoa mada iphone hewa unataka umlinganishe na Jeff bezzo na still umuaminishe this kind of online business katika mazingira hayo still safe?

Mkuu kuna vitu ukivilinganisha unavikosea heshima..
 
Huyu jamaa ana onekana anatabia ya kutapeli alafu anabadirisha jina la page yake.

Kwa hiyo watu ambao walicheki naye dm ndiyo kidogo wana urahisi wakumjua,kwasababu zile dms zitakuwa zimebaki

Ila wale wageni wana endelea kupigwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sisi wakristo tunasemaga BWANA AMETOA BWANA AMETWAA.....

Sent from my SM-M105F using JamiiForums mobile app
Aisee we jamaa nimecheka ******* kusema kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Aisee agiza kreti zima ntalipa mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…