Tulia kama wiki hivi ajisahau halafu ndio uanze kumsaka. Utampata kirahisi sana! Ngoja amalize hizo hela kwanza.Wakuu kwema..
Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala ...
Mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar simu ukisha order inakuja na boat ya mchana kwa maelezo yake.... Nilivotuma hiyo pesa aka confirm kwamba kapokea akiniahidi kwamba atanipa namba ya mtu anaefanya delivery huku Dar ndio maongezi yakaishia hapo...
Kila nkimwambia anitumie hiyo namba kimya na kaniblock jamani naombeni msaada nataka niende police je kuna utaratibu gani huko kwa kesi za kutapeliwa mtandaoni....?? Naombeni muongozo karibuni
Darajani UngujaMuzammil electronics[emoji847][emoji33]
unatumaje hela kindezi ndezi hivyo? matapeli mtandaoni wamekuwa wengi hv hamjifunzi tu kupitia kwa wengine waliotapeliwa? ukitaka kununua kitu online mwambie akuletee hiyo bidhaa na ukishapewa ndio unatuma hela.Wakuu kwema..
Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala ...
Mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar simu ukisha order inakuja na boat ya mchana kwa maelezo yake.... Nilivotuma hiyo pesa aka confirm kwamba kapokea akiniahidi kwamba atanipa namba ya mtu anaefanya delivery huku Dar ndio maongezi yakaishia hapo...
Kila nkimwambia anitumie hiyo namba kimya na kaniblock jamani naombeni msaada nataka niende police je kuna utaratibu gani huko kwa kesi za kutapeliwa mtandaoni....?? Naombeni muongozo karibuni
Hapana, sio wasanii , hao ni madalali. Kama anafanya delivery na hujalipia sioni kwa nini usimuamini, kwa sababu hupungukiwi chochote, maana unalipa akifikisha mzigo kwako.Au ukiona mtu anakwamba wanafanya delivery tu hawana duka huyo ni msanii.
View attachment 1461493nasikitika kutoka na kukutana na hadi watu qengi wamemfungulia page kwamba ni mwizi pole. Nilitaka nianze mshughulikia.. ila ngoja niendelee kumtrace
Mshikaji anahitaji ushauri afanyeje baada yakua ameshatapeliwa! Hizo lawama unazo mlaumu sasa zitamsaidia nini?khaaaaa....
Yaaani ukishaona Mtu anauza bidhaa hasa electronics Anadai ana Duka na ni nje ya Dar halafu haanzi kwa kutaja exact location Anajinadi kusema popote tunakutumia, Anza kutumia akili yako vizurii....
Wanatumia trick ya nje ya dar hasa zanzibar maana wanajua Ni ngumu kuifuata,
Na anajua wateja wengi wapo Dar, au Ana ndugu Dar, hivyo akikuambia yupo Dar ni simple tuu utahitaji kumuona au kutuma mtu.
Huyo ni tapeli, hauzi simu na Asilimia kubwa yupo Dar...
Ila vitu vingine ni kujiongeza tuu, sasa kweli mtu anakuambia Anauza simu, yupo Manyara, Tabora, Iringa(kupatana wamejaa hawa) Ukiangalia Mazingira ni bonge ya Duka, Bei nayo hata ya China haioni ndani....
Khaaa sasa kweli kweli kwelii mtanzania mwenzangu Duka la Simu bei chee tena iphones na Macbook za maana likose kote kwa kukaa likae Mara na sumbawanga?????
Halafu pia hii habari ya mjini ya sasa ya free delivery ndio inawaumiza watu..
Ni nzuri ila kiafrica wengi wana mlengo wao mwingine..
Na binafsi hata kama hamna utapeli, sio mpenzi wa biashara za free delivery hasa zile ambazo zinahitaji ukaguzi, bora hizi za kimataifa za kuagiza nje, ila bongo uaminifu bado sana
Raha ya biashara uone bidhaa, ukague, ulidhike, ulipe uchukue..
Sio ulipe uletewe, ulazimike kuchukua,
Ukienda dukani waweza ukutane na option nyingi quality tofauti tofauti uamue mwenyewe ya kuchukua.
Free delivery ata kama utaletea mfano simu wanachagua ile ambayo ni ya ovyo tu maana masimu yenyewe ni refubrished yan ig now kila mtu anabiashara akiwa na account tu ya kupost.
Taja jina la hiyo page na namba ya wahusika sasa hata watu wa usalama watasaidiaje leta hizo taarifa.
Ila lazima ulikuwa na mtu aliyeko Zanzibar ku verify uwepo wa mzigo na physical location!?Pole sana mkuu, hawa matapeli wanafanya biashara ya mtandao kutokuaminika na kuwaharibia wale waaminifu katika biashara hizo. Nimewahi tuma pesa kwa mtu yupo Zanzibar Tsh.mil.2 kasoro kabla ya kupokea mzigo na kesho yake mzigo niliupokea kama nilivyokuwa nimeagiza.
Sema kinachowaponza wengi ni kupenda kitonga, kitu cha mil. 1 unakuta kinauzwa bwelele..Hujiulizi huyu ananunua wapi kwa bei hii na anapataje faida?
Hawa mbona nasikia ni watu wema imekuaje??
Mimi nimetoa tahadhari kwa wengine kuepuka hili kujirudia...Mshikaji anahitaji ushauri afanyeje baada yakua ameshatapeliwa! Hizo lawama unazo mlaumu sasa zitamsaidia nini?
Hapana, sio wasanii , hao ni madalali. Kama anafanya delivery na hujalipia sioni kwa nini usimuamini, kwa sababu hupungukiwi chochote, maana unalipa akifikisha mzigo kwako.
JILA LA BWANA LIIDIMIWEKwa sisi wakristo tunasemaga BWANA AMETOA BWANA AMETWAA.....
Sent from my SM-M105F using JamiiForums mobile app