Kuwa Makini: Kuna Matapeli huko Instagram wanaodai kuuza iPhone na Smart TV etc wakidai wapo Pemba au Zanzibar

Tulia kama wiki hivi ajisahau halafu ndio uanze kumsaka. Utampata kirahisi sana! Ngoja amalize hizo hela kwanza.
 
Hakuna kitu kama hicho,Unatapeliwa vipi wakati mtu simu number yake unaijuwa?Hapo tunakwenda Chama na Mogella lakini hela yangu ntapata..Nasema as long as number yake unayo sema nae huyo hiyo hela ataitapika alafu unamcharge na ya Usumbufu,Lakini kama na wewe ni Born town.
 
unatumaje hela kindezi ndezi hivyo? matapeli mtandaoni wamekuwa wengi hv hamjifunzi tu kupitia kwa wengine waliotapeliwa? ukitaka kununua kitu online mwambie akuletee hiyo bidhaa na ukishapewa ndio unatuma hela.
 
Au ukiona mtu anakwamba wanafanya delivery tu hawana duka huyo ni msanii.
Hapana, sio wasanii , hao ni madalali. Kama anafanya delivery na hujalipia sioni kwa nini usimuamini, kwa sababu hupungukiwi chochote, maana unalipa akifikisha mzigo kwako.
 
Mshikaji anahitaji ushauri afanyeje baada yakua ameshatapeliwa! Hizo lawama unazo mlaumu sasa zitamsaidia nini?
 
Free delivery ata kama utaletea mfano simu wanachagua ile ambayo ni ya ovyo tu maana masimu yenyewe ni refubrished yan ig now kila mtu anabiashara akiwa na account tu ya kupost.


Halafu huyo muzammil someday anapost kua wateja wngu wa leo watapata EarPods bure kwa kila iPhone au power bank moja kwa kila iPhone jamaa mjinga sana huyo[emoji23]
 
Ila lazima ulikuwa na mtu aliyeko Zanzibar ku verify uwepo wa mzigo na physical location!?
 
Mshikaji anahitaji ushauri afanyeje baada yakua ameshatapeliwa! Hizo lawama unazo mlaumu sasa zitamsaidia nini?
Mimi nimetoa tahadhari kwa wengine kuepuka hili kujirudia...
Sio lazima wote tutoe Ushauri unaofanana boss..

Naomba Uni quote hapo nilipo mlaumu.
 
Hapana, sio wasanii , hao ni madalali. Kama anafanya delivery na hujalipia sioni kwa nini usimuamini, kwa sababu hupungukiwi chochote, maana unalipa akifikisha mzigo kwako.

Kama ndio hivyo mbona wewe jamaa wa Ludewa hukumuamini?

rejea comment yako #162
 
Umetapeliwa au umetuma mwenyewe?Akisema alikuwa anakudai umeamua kumgeuzia kibao utajiteteaje? Akili za wabongo wengine wanazijua wenyewe tu.Ni hawa hawa ndio wanaoamini kila habari inayowekwa mtandaoni ni ya kweli, nadhani elimu sasa waipate kuwa siyo kila kitu cha mtandaoni ni cha kweli.Kiufupi ndugu,mfate tu diamondplatnumz akuimbie wimbo wa JIBEBE,hakuna namna hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…