Kuwa makini na aina hii ya majibu toka kwa mwanamke

Kuwa makini na aina hii ya majibu toka kwa mwanamke

Ukimshtua na mwamala wa maana atawashwa tu. Malay wanapenda sana pesa. Hata asipokuja siku hiyo atakutafuta tu sababu atataka tena hela yako na atakuja na utetezi wa kipuuzi tu ila atakuja.

Umeshasema malaya, thats means ni biashara ndio maana unatuma hela. Ila kama ni serious relation huna chako
 
Back
Top Bottom