Kuwa mtanashati au handsome ni mzigo mkubwa

Lipia tangazo
 
Bila shaka unapaka na lip-shine pia.

Sisi wengine tunaamini kwenye bank account balance, investments na akili kichwani.
Huwa hata ndala tunavaa, boxer tunavaa hata mwezi, jeans mwezi hatujaali Sana muonekano.
 
Sawa, lakini mimi sio kwamba sitafuti hela bro, nafanya mishe zangu na utanashati siwezi kuacha
 
Anzisha uzi tu ili tuwe eksklusiv kapo. Pm ushindani mkubwa ukizingatia uhendisamu wangu ni wa kipekeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ushanitisha kumbe kuna wenzangu kibao huko pm nikikuanzishia uzi watakuwa tu wananichora ai kentiπŸ˜•πŸ˜‚
 
Fungua pm basi,,,ila huu mwandiko sio wa kijana mtanashati na handsome
 
Ushanitisha kumbe kuna wenzangu kibao huko pm nikikuanzishia uzi watakuwa tu wananichora ai kentiπŸ˜•πŸ˜‚
Donti bi laik zat. Wao wameamua kujificha, wewe unapata fursa ya kuwa mein chik, mwenye mali.

Kabla kukata tamaa imagine vi hendisamu bebi vyetu vya baadae, vikichukua tabasamu na rangi ya baba, vitakimbiza balaa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…