Kuwa mtanashati au handsome ni mzigo mkubwa

Nimeamini kuwa mtanashati ni mzigo mkubwa, hasa ukiwa hauna strong financial stability, expectations zinakuwa kubwa kwa watu wanao kuona, wanalinganisha muonekano wako na kipato chako.

Ukiwa umebarikiwa muonekano nadhifu, wengi watadhani hata mfuko wako upo vizuri, huenda unabangaiza na kupata kidogo. Ukazingatia unadhifu na mavazi mazuri yasiyo na gharama, lakini bado watadhani wewe ni pedeshe.

Hayo yote yananikuta mimi, kila sehemu nikienda nakaribishwa kifalme kwa sababu ya muonekano tu, kumbe mfukoni ni mtu wa hali ya kawaida kabisa.

Am tired of this......
No handsome in Africa.
 
Niache issue gani?
Wewe ni wakiume na ujioneshe ni Mzuri kuliko wengine???
Hata yule Richadore alianzaga hivi hivi kwahiyo acha kukubali uharisia wa urembo.
Na mbaya zaidi wadada wanasababisha sisi wanaume ku left .Wakishakuona ni HB wanaanza kukujaza uzuri mpaka misifa inakujaa utauponza kaka
 
Ni hayo tu au kuna lingine ungependa kusema?
 
Wewe ni wakiume na ujioneshe ni Mzuri kuliko wengine???
Hata yule Richadore alianzaga hivi hivi kwahiyo acha kukubali uharisia wa urembo.
Na mbaya zaidi wadada wanasababisha sisi wanaume ku left .Wakishakuona ni HB wanaanza kukujaza uzuri mpaka misifa inakujaa utauponza kaka
👏👏👏👏
 
Back
Top Bottom