Kuwa mtanashati au handsome ni mzigo mkubwa

Kuwa mtanashati au handsome ni mzigo mkubwa

Mwanaume mtanashati na mwanaume handsome ni watu wawili tofauti.
 
Tofauti ni nini
Mtanashati ni mwanaume/mvulana anayejipenda sana.
- anavaa vzr ananukia vzr na kupendeza
Kwa sisi watu wa zamani tunamwita CHECK BOB, au BROTHER MEN..
Utanashati hauhusiani na muonekano wako wa sura nzr..
Unaweza ukawa. Mtanashati lakini sura ya kazi.

Handsome ni mwanaume/mvulana mwenye sura nzr na yakuvutia.
Mtu anaweza akawa handsome lakini sio mtanashati..
Mtu anaweza akawa handsome lakini akawa hajipendi wala havai vzr mchafu lakini ana sura nzr.

mtu anaweza akawa mtanashati lakini asiwe handsome..
 
Mtanashati ni mwanaume/mvulana anayejipenda sana.
- anavaa vzr ananukia vzr na kupendeza
Kwa sisi watu wa zamani tunamwita CHECK BOB, au BROTHER MEN..
Utanashati hauhusiani na muonekano wako wa sura nzr..
Unaweza ukawa. Mtanashati lakini sura ya kazi.

Handsome ni mwanaume/mvulana mwenye sura nzr na yakuvutia.
Mtu anaweza akawa handsome lakini sio mtanashati..

mtu anaweza akawa mtanashati lakini asiwe handsome..
Hapo nimejua tofauti mkuu, lakini umeeleza vizuri kwamba utanashati ni katika engo ya mavazi tu. Pia inawezekana mtu akawa na vitu vyote hivyo viwili
 
Hapo nimejua tofauti mkuu, lakini umeeleza vizuri kwamba utanashati ni katika engo ya mavazi tu. Pia inawezekana mtu akawa na vitu vyote hivyo viwili
Wapo watu wana kila kitu,,
- handsome
-mtanashati
-ana pesa
-romantic etc.
 
View attachment 3060437
Haya tafsiri ya Google.

Mtoto wa kiume unatakiwa ujisifie hustling, fighting spirit, fatherhood.

Wewe unajisifia uzuri ndio maana ni kasema,dada zangu wanakazi......
Hobby, fantasy, lifestyle and morever, mimi sijaona shida ya mtoa mada ikiwa yuko jukwaa sahihi na anatoa yake.

Unaweza vipi kuwa handsomely great ukiwa hutafuti pesa, unless otherwise wanao mkosoa mtoa mada ni wale walio fail kuact the way mtoa mada anaishi, kiufupi ni maneno ya mkosaji....
 
Katika umri wa early 30's ndiyo nimevutika kuwa nadhifu na mtanashati, wakati wa nyuma nilikuwa rough sana.
Katika umri huo wengi ndyo huwa wanapuuza maswala ya unadhifu, kama wewe umezingatia hilo basi hongera sana Mkuu
 
Back
Top Bottom