Kuwa mwanamke wa kisasa Tanzania ni changamoto sana katika mahusiano/ndoa

Una ubongo wa kuku usioweza kufikiri Sawa sawa zaidi tu ya kuvuruga vuruga matope yaliyochanganyikana na mavi.

Sina hata haja ya kuandika maelezo marefu maana huna akili.

Vita vinaanzishwa na maadui na huyo adui haangaliwi kwa misingu ya jinsia yake Bali kwa lengo ovu alilonalo. Na hakuna watu wa jinsia Fulani wanaomtuma adui huyo "kwamba njoo utushambulie, sisi tunapigana na wewe kisha watu wa jinsia Fulani usiwaguse".. this is how ridiculous your argument is

Ukraine wamevamiwa na Urusi Kila mtu anajua sababu, sio serikali ya Ukraine Wala wanaume wa Ukraine waliosababisha uvamizi huo Bali ni ubabe na matakwa ya kishenzi ya serikali ya Urusi ndio chanzo Cha hiyo vita.... Halafu wewe hapa unasema eti wanaostahili kupigana kwenye hiyo ni wanaume wa Ukraine pekee tu na wanawake hawahusiki, hivi una akili kweli wewe?

Kwa hiyo unataka kutwambia leo hii jambazi wa kike akiingia ndani mwako akiwa na bastola au silaha yoyote hatarishi, wewe hautaangaika nae kumkabili na badala yake utamuachia mkeo ndio apambane nae peke yake eti kisa tu ni mwanamke mwenzie???.... Nyie feminists sijui huwa mnatumia kiungo gani ku reason, maana hoja zenu huwa ni za kipuuzi sana halafu mnajionaga eti mko smart kumbe wajinga tu
 
Kwa nini wanawake wakafe katika vita vilivyoanzishwa kwa ujinga wa wanaume wenye kushindanisha ego zao na kutunishiana misuli?? Hata wanaume wenye akili huwa wanajitahidi sana kuepusha, kuepuka au kuepukwa na vita.
Wewe kwa comments zako tu unaonesha una mtindio wa ubongo kichwani, shenzy kabisa....

Basi kwa logic yako hii tusema hii dunia ni Mali ya mwanaume maana yeye ndio anauweze wa kuiharibu na kuilinda na wanawake hawana uwezo wa kuzuia chochote si ndio??
 
Huyo jamaa aina yake ya reasoning ni ya kipuuzi sana ila kwa bahati mbaya sana feminists wengi huwa Wana reason kama yeye...

Kwa mujibu wa mantiki yake, jwa vile wanawake hawatakiwi kuhusika na consequences zozote zinazotokana na maamuzi ya ya kipuuzi ya mwanaume, basi hivyo hivyo hawapaswi kuwa na shobo na chochote kile kilichoanzishwa na mwanaume na kina matokeo chanya, kwa hiyo hata makampuni makubwa yote ulimwenguni kama google,Tesla, Facebook, Adidas etc wanawake hawatikiw kabisa kujiona kama wameonewa pale wanaponyimwa fursa zinazotolewa na makampuni haya kwa sababu ni makampuni ambayo leo hii yako hapo kwa juhudi na maamuzi ya wanaume... Najua hawezi kuwa tayari kwa aina hii ya conversation mjinga huyu
 
Comment nzito sana hii ila nna doubt kama hataweza hata kuelewa simple logic iliyopo hapa
 
Sijaelewa point yako, sioni mantiki ya hii hoja yako, yani kwa sababu ulimualika mtu akachangia na akaja kwenye harusi yako lazima pia ukimualika katika mgogoro wako wa kudaiwa kuvamia kiwanja cha mtu aje pia??
Wewe jamaa hebu kuwa na akili hata za kuazima basi, Sasa huo mfano wako una correlation gani na alichokiandika Scars?

Kwamba una maanisha wanawake ni kama wagenj wa wanaume tu hapa duniani ambapo wamiliki wake halali ni wanaume au?

Mbona dishi lako limeyumba sana? Na pia ametoa mfano kwenye suala la kugawana Mali kwenye taraka hata zile ambazo mwanamke hajashiriki kuzitafuta, mbona Hilo hujaliona?? Ndio maana nasema nyie feminists aliyewapa nguvu hii mliyonayo ana dhambi kubwa sana
 
Tangaza kazi za jeshi kesho uone wakina nani kati ya wanaume na wanawake watazikimbilia hizo kazi, sasa kama mtu hapendi kazi fulani utamlazimisha kuifanya?? Yani kama wewe hutaki kuwa daktari au police ukilazimishwa ni haki??
 
Haswaa. Unakuta wanafanya kila kitu binti zao waende shule halafu wanadanyanya wenzao waoe darasa la saba na mama wa nyumbani
Nikuulize swali naomba unijibu...

Ni kwanini serikali huwa inatangaza Kila leo kwamba uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako, lakini hapo hapo Bado inakuuzia wewe sigara??
 
Wewe unaongolea vitu exceptionals, mimi naongela general, ni sawa na mtu anayeambiwa ngono zembe na uzembe mwingine ndio chanzo kikuu cha maambuzi ya UKIMWI yeye anajibu lakini unaweza kupata ajali damu ikachanganyikana ukapata UKIMWI.
 
Haswaa. Unakuta wanafanya kila kitu binti zao waende shule halafu wanadanyanya wenzao waoe darasa la saba na mama wa nyumbani
Ni mambo ya ajabu sana!
 
Inapofika kwenye hizi mada simwelewagi kabisa
 
Tangaza kazi za jeshi kesho uone wakina nani kati ya wanaume na wanawake watazikimbilia hizo kazi, sasa kama mtu hapendi kazi fulani utamlazimisha kuifanya?? Yani kama wewe hutaki kuwa daktari au police ukilazimishwa ni haki??
Hata sisi kwenye mali zetu tulizotafuta kwa jasho letu huwa hatupendi kugawana 50/50 na mwanamke kisa talaka

Kwa hiyo waambie wanawake nao wajifunze kupenda vile vyote ambavyo kwao wanaviona ni vigumu.
 
Ni nadra nchi zinazoongozwa na wanawake kuanzisha vita dhidi ya nchi nyingine, vita vyote vikubwa vilivyoleta madhara makubwa zaidi dunianj vimeanzishwa na wanaume.
 
Mtindio wa ubongo ni ulemavu msiwe mnapenda kutumia hili jambo kama matusi au dhihaka.
 
Huo ni mpango wa muda mrefu wa kuua familia. Keep away fadha then all children remain with woman after that come generation of no fadha and be like dogs 🐢 🐢 🐢
 
Hata sisi kwenye mali zetu tulizotafuta kwa jasho letu huwa hatupendi kugawana 50/50 na mwanamke kisa talaka

Kwa hiyo waambie wanawake nao wajifunze kupenda vile vyote ambavyo kwao wanaviona ni vigumu.
Kwenye talaka mali huwa hazigawanywi 50/50, huu ni uzushi na uongo tu wa mtaani ambao umerudiwa sana mpaka umeaminika na wengi kama kweli na fact.
 
Google, Tesla, Facebook, na Adidas ni kampuni binafsi hakuna shida kama wakiamua hawataki wanawake kuwa wafanyakazi au kutangaza biashara zao pamoja na kununua bidhaa zao.
 
Kwenye talaka mali huwa hazigawanywi 50/50, huu ni uzushi na uongo tu wa mtaani ambao umerudiwa sana mpaka umeaminika na wengi kama kweli na fact.
Ulizowahi kushuhudia wewe uliona zinagawanywa kwa asilimia ngapi ngapi?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vita bado mbichi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…