Red flagIt amplifies the inferiority complex ya wanaume wengi wa bongo. Wengi hawana exposure. Nawaonea huruma dada zetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Red flagIt amplifies the inferiority complex ya wanaume wengi wa bongo. Wengi hawana exposure. Nawaonea huruma dada zetu.
Aaah hilo sio tatizo kabisa. Kitanda hakizai haramu.Na mkisingizia watoto/mtoto mumeo inakuaje??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mtu kuzaliwa na single mother hakumfanyi aukubali single mother au kuusapoti.Hao watoto wao single mother wengine sasa hivi ndio wanatukana single mothers!
Uko too irrelevant na umeonesha kutoelewa nilichoandika.Sijaelewa point yako, sioni mantiki ya hii hoja yako, yani kwa sababu ulimualika mtu akachangia na akaja kwenye harusi yako lazima pia ukimualika katika mgogoro wako wa kudaiwa kuvamia kiwanja cha mtu aje pia??
Natafuta Ajira njoo hukuUkiwa Feminists ni shida,
Single mother ni shida,
Ukiomba pesa malalamiko
Ukimzidi mwanaume wako kipato kama yeye sio marioo tatizo.
Ukimzidi mwanaume elimu ni tatizo
Ukivaa nguo za kubana sio wife material
Ukitoka nyumbani unatakiwa kuomba ruhusa.
Ukichelewa kurudi nyumbani tatizo.
Kumala mamaakeee..!!!Aaah hilo sio tatizo kabisa. Kitanda hakizai haramu.
Hoja yako haina mantiki ni kama useme yule mwanamke ni sister wa kanisa la Roman hivyo hana dhambi,basi usimhoji kama anazoMtu uliyezaliwa na mwanamke unapata ujasiri wapi wa kuwaita "creatures"? Na kwa nini unataka kumcontrol binadamu mwenzako?
Wanawake ni watu wa kuwaheshimu na kuwaenzi kutokana na nafasi yao ya kipekee ya kutuzaa na kutulea wakati hatuna uwezo wowote wa kujifanyia lolote.
Na mara nyingi tukipita huu umri wa kujimwambafy, hao hao wanawake ndio wanatulea mpaka tunapoondoka katika hii dunia. Kuwatukana ni upumbavu wa hali ya juu.
Amandla...
Utakuwa hujui maana ya maadili. Wizi ni mzuri au mbaya ? Uzinzi ni uzuri au mbaya ? Kutembea uchi ni kizuri au kubaya ? Sasa haya yote hayapitwi na wakati mzee, hata teknolojia iwe itakavyo kuwa yatabaki kuwa mabaya.Maadili ya karne ya saba sio maadili ya leo, pia maadili yanaendena na level ya sayansi na teknolojia. Mkiwa katika level ndogo ya sayansi na teknolojia maadili yenu yanakuwa ya kijima zaidi na kandamizi kwa wanawake.
Kwahiyo sasa hivi rais Samia akiingia kwenye mgogoro binafisi na kagame na akaamuru jeshi la Tz liivamie Rwanda wanajeshi wa kiume watagoma kwenda vitani badala yake watakusanywa wanawake ndo waende vitani kisa mgogoro umeanzishwa na wanawake wenzie?Wewe ukiwa mwanaume utakubali kwenda kupigana katika vita vilivyoanzishwa na wanawake?
Hata kama haukubali, huo ndio ukweli
Vita vikubwa vyote vya dunia vimeanzishwa na wanaume, genocides zote zimeanzishwa na kutekelezwa na wanaume, ni ujinga kudai wanawake wafe kwa sababu ya ujinga usiowahusu. Kama mnataka na wawo washiriki kikamilifu vitani na katika mauaji ya kimbari wapewe fursa kikamilifu za kuanzisha vita, mizozo ya kisiasa na mauaji ya kimbari.
Huyu sio ke huyu ni upinde na huwa anashinda humu unautetea.Mkuu Yoda kumbe wewe ni KE?
Ndoa ni taasisi na hakuna taasisi isiyo kuwa na kiongozi.Sio lazima.
Kwahiyo hiyo teknolojia ndo imekuja kuwarazimisha kuwa wazinzi,walevi,matapeli wa mapenzi sio?Maadili ya karne ya saba sio maadili ya leo, pia maadili yanaendena na level ya sayansi na teknolojia. Mkiwa katika level ndogo ya sayansi na teknolojia maadili yenu yanakuwa ya kijima zaidi na kandamizi kwa wanawake.
Wa hivi wengi hawana mbele wala nyuma 🤣🤣 wanatafuta watu wanyonge ili wapate ahueni kihisia.Hakuna kitu wanaume wanaogopa kama kushindwa na mwanamke katika maisha,kazi,pesa,elimu na kila kitu
No wonder kuna wanaume wanaamuq kuoa golikipa bora maisha yampige lakini awe na mnyonge wake nyumbani
Inferiority complex yasumbua wanaume
Mambo mengi yanayoandikwa na wengi humu huwa ni ya kusadikika na toxic. Single mom wanaolewa na wanajenga ndoa na familia zinanawiri.Labda kama mnaongelea wanawake wa Dar au maisha ya mahusiano ya Dar - tena Dar Kinondoni, Ilala sehemu ndogo na Ubungo sehemu ndogo.
Nje ya hapo, watu wanaoa masingle mothers, wanawake walioachika - wanaolewa wanazaa tena kama kawaida - huo unyanyapaliwaji upo tu humu kwenye keyboards kiuhalisia watu wanaona hatari na kuzalishana.
Pia hao wanawake wenye sifa ulizitaja hapo juu wako wachache sana labda kama mnaongelea hawa superstars fake wa mitandaoni na wanamuziki.
Mtaani huku bado mfume dume UMETAMALAKI...mwanaume ndo mtafutaji namba moja,haijalishi kama mama anafanyakazi ama la.
Hao FEMINISTS mnaosema labda hawa wanaotumia majina fake onlibe but kwenye real life feminists ni wachache sana.
Wizi ni kosa la jinai wala sio suala la maadili ya jamii fulani.Utakuwa hujui maana ya maadili. Wizi ni mzuri au mbaya ? Uzinzi ni uzuri au mbaya ? Kutembea uchi ni kizuri au kubaya ? Sasa haya yote hayapitwi na wakati mzee, hata teknolojia iwe itakavyo kuwa yatabaki kuwa mabaya.
Yaani Kuna vitu haviathiriwi na wakati.
Kuna ukweli mkubwa katika hili.Tatizo unakuta mtu maisha yake ya kuungaunga halafu anaoa mke
Ni kama amejitafutia mtumwa
Hapo atataka maji moto ya kuoga apelekewe
Ataacha hela mbuzi bado anataka akirudi akute wali nyama
Hana hela hta ya dobi, anataka kumrundia mke wake minguo ya grisi afue
Ni ushenzi mtupu maisha ya kimasikini
Kaeo kweli. Ndio hivyo mkubaliane na hali. Maadili yanabadilika kulingana na mazingira na utandawazi.Tabu ndio hii sasa inayotokana na kufata hayo mabadiliko. Lazima akili itumike sio kila mabadiliko yanafatwa, kuna vitu vimeshatangulia muda, yaani havipitwi na wakati hasa maadili . Ndio maana ukienda kinyume na maadili lazima uharibikiwe.
Mwanamke wa kisasa amefanywa mjinga na kutumia kama chombo cha starehe, imefikia hata yale yanayo mdhuru anaona ndio sawa ila yale yenye kumpa hadhi na heshima anayapiga vita, unajiuliza akili zao wanazitumia kwenye nini ?
Siku zote mwanamke anahitaji uangalizi wa mwanaume na usimamizi awe atakavyo kuwa.