Pridah
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 1,495
- 3,453
Sawa mkuu.🙏🏼🙏🏼Wa kiume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu.🙏🏼🙏🏼Wa kiume.
Na mkisingizia watoto/mtoto mumeo inakuaje??In short "tukipumua" ni taabu.
Kwani hata wale mabinti wa Elon Musk nao wakija itawawia vigumu hapa Tanganyika?Ukiwa Feminists ni shida,
Single mother ni shida,
Ukiomba pesa malalamiko
Ukimzidi mwanaume wako kipato kama yeye sio marioo tatizo.
Ukimzidi mwanaume elimu ni tatizo
Ukivaa nguo za kubana sio wife material
Ukitoka nyumbani unatakiwa kuomba ruhusa.
Ukichelewa kurudi nyumbani tatizo.
Uzazi kwa maana ipi?Na kwenye uzazi pia,
Mbona umeandika hii hoja kama ni mtu ambaye hujashilikisha ubongo wako?Kwa nini wanawake wakafe katika vita vilivyoanzishwa kwa ujinga wa wanaume wenye kushindanisha ego zao na kutunishiana misuli?? Hata wanaume wenye akili huwa wanajitahidi sana kuepusha, kuepuka au kuepukwa na vita.
Ndio wote tunafahamu kuwa mwanamke anazaa, point yako ilikuwa ni nini sasa?Mwanamke ndiye anazaa,
nimeirudia hoja yako hapo juu sasa nimekuelewa nimeona jinsi unavyoshangazwa na maswali ya Hawa vipanga pisi Kali wasio hitaji ruhusa kwa waume zao maana chuo kagonga GPA 4.9 sasa anaanzaje kuja kuomba ruhusa kwa Mme wake tena inawezekana ana GPA 3.8 au huenda hata chuo hakufika zaidi ya biashara yake ya utalii inayowalisha hapo home.Hujanielewa mkuu.
Umeshauza jimbo, hakunaga mwanaume wa sampuli yako, labda kama upo hapa kimkakati kwa style mamba anakutafuna huku anatokwa machozi yeye.Wa kiume.
Waanzishaji vita siku zote wamekuwa wanaume( kwa 99%). Wanaoweza kuvizuia vita ni wanaume wenyewe.Mbona umeandika hii hoja kama ni mtu ambaye hujashilikisha ubongo wako?
Kwani vita siku zote ni lazima pande zote mbili ziwe ndio tatizo?
Kwa mujibu wa maelezo yako ni kuwa vita ya Tanzania na Uganda, Tanzania tulipaswa ku bow down na kumuachia Iddi Amini aichukue Kagera kwasababu kupigana kwetu kulinda ardhi yetu kungeonesha sisi pia ni wajinga?
Kweli huu ndio aina ya utetezi wako wa kutuelezea mechanism ya feminism kwanini ina mipaka linapokuja swala gumu?
Unawashauri wanawake wasishobokee maendeleo na fursa zinazoletwa na hao viongozi wanaume kwasababu kama vita hawaitolei shobo kwakuwa ya kile ulichokiita ni ujinga wa viongozi wakiume basi hata maendeleo pia ni dedicated kwa raia ambao ni wanaume na haziwahusu wanawake?
fuateni maandiko ya vitabu vya mwenyez Mungu
Hakuna kitu wanaume wanaogopa kama kushindwa na mwanamke katika maisha,kazi,pesa,elimu na kila kitu
No wonder kuna wanaume wanaamuq kuoa golikipa bora maisha yampige lakini awe na mnyonge wake nyumbani
Inferiority complex yasumbua wanaume
Inabidi kuishi kutokana na haayo mabadiliko na kutafuta jinsi ya kuendana nayo. Otherwise, tutapata tabu sana
Hata waanzishaji wa hiyo feminism ambayo inawapa ujeuri ni wanaume pia so what's your point dude?Waanzishaji vita siku zote wamekuwa wanaume( kwa 99%). Wanaoweza kuvizuia vita ni wanaume wenyewe.
Vita pia vina mahusiano biology ya binadamu. Homoni ya testosterone ambayo ni homoni kuu ya wanaume inahusika zaidi na violence, aggression na vita. Hii homoni inaitwa "aggression hormone" na inahusika pakubwa katika masuala ya vurugu na vita, wanawake wanayo kwa kiwango kidogo sana.
Maadili ya karne ya saba sio maadili ya leo, pia maadili yanaendena na level ya sayansi na teknolojia. Mkiwa katika level ndogo ya sayansi na teknolojia maadili yenu yanakuwa ya kijima zaidi na kandamizi kwa wanawake.Tabu ndio hii sasa inayotokana na kufata hayo mabadiliko. Lazima akili itumike sio kila mabadiliko yanafatwa, kuna vitu vimeshatangulia muda, yaani havipitwi na wakati hasa maadili . Ndio maana ukienda kinyume na maadili lazima uharibikiwe.
Huo ndouanamke 🙌Ukiwa Feminists ni shida,
Single mother ni shida,
Ukiomba pesa malalamiko
Ukimzidi mwanaume wako kipato kama yeye sio marioo tatizo.
Ukimzidi mwanaume elimu ni tatizo
Ukivaa nguo za kubana sio wife material
Ukitoka nyumbani unatakiwa kuomba ruhusa.
Ukichelewa kurudi nyumbani tatizo.
Sijaelewa point yako, sioni mantiki ya hii hoja yako, yani kwa sababu ulimualika mtu akachangia na akaja kwenye harusi yako lazima pia ukimualika katika mgogoro wako wa kudaiwa kuvamia kiwanja cha mtu aje pia??Hata waanzishaji wa hiyo feminism ambayo inawapa ujeuri ni wanaume pia so what's your point dude?
Fact ya kwamba wanaume ndio wanaanzisha vita sio fact inayomuengua mwanamke kwenye uwajibikaji wa kupambana vitani.
Mbona kwenye ndoa tumeona mali zinaweza kuanzishwa na mwanaume lakini siku ya talaka unafanyika mgawanyo wa 50/50?
Tena kwa fact ya kipumbuvu kabisa utaskia "kulea watoto pamoja na kazi za nyumbani ni sehemu ya kumfanya mwanamke awe sehemu ya umiliki wa hizo mali"
Kwa fact hiyo hata wanawake wanaoneemeka na maendeleo yanayotokana na uongozi wa wanaume wanapaswa kwenda vitani.