Mbona hata Waziri Dr Dorothy Gwajima anaonyesha live pamoja na uwazi wake jinsi anavyoendana na mume wake ,nyie wengine mnashindwa wapi kuendana na waume zenu mpaka mnanyimwa ruhusa?
unaleta jeuri kwa mume wako kisa una cheo kikubwa , mmemsahau yule makamu wa Rais wa Uganda yule mama alivyolambwa makofi na.mume wake hadharani kwa kumdhalilisha mume kumtaka amtii kwa kuwa alikuwa makamu wa Rais akawa anamfokea mume wake hadharani mwisho alilambwa makofi na baadae hata huo umakamu wa Rais akaja kuukosa akatorokea marekani ,
mkae mkijua hakuna kitu kinaitwa uhuru kwenye ndoa ,ukilazima uhuru tunawaacha muendelee na uhuru mnaotafuta kwa kuchukua haiba za wanawake wa kizungu waumini wa maisha ya uhuru na kuolewa na kutulia baada ya kumaliza anasa zote nq wapo walioamua kuishi bila ya kuolewa napo barido tu.