Una ubongo wa kuku usioweza kufikiri Sawa sawa zaidi tu ya kuvuruga vuruga matope yaliyochanganyikana na mavi.Wewe ukiwa mwanaume utakubali kwenda kupigana katika vita vilivyoanzishwa na wanawake?
Hata kama haukubali, huo ndio ukweli
Vita vikubwa vyote vya dunia vimeanzishwa na wanaume, genocides zote zimeanzishwa na kutekelezwa na wanaume, ni ujinga kudai wanawake wafe kwa sababu ya ujinga usiowahusu. Kama mnataka na wawo washiriki kikamilifu vitani na katika mauaji ya kimbari wapewe fursa kikamilifu za kuanzisha vita, mizozo ya kisiasa na mauaji ya kimbari.
Sina hata haja ya kuandika maelezo marefu maana huna akili.
Vita vinaanzishwa na maadui na huyo adui haangaliwi kwa misingu ya jinsia yake Bali kwa lengo ovu alilonalo. Na hakuna watu wa jinsia Fulani wanaomtuma adui huyo "kwamba njoo utushambulie, sisi tunapigana na wewe kisha watu wa jinsia Fulani usiwaguse".. this is how ridiculous your argument is
Ukraine wamevamiwa na Urusi Kila mtu anajua sababu, sio serikali ya Ukraine Wala wanaume wa Ukraine waliosababisha uvamizi huo Bali ni ubabe na matakwa ya kishenzi ya serikali ya Urusi ndio chanzo Cha hiyo vita.... Halafu wewe hapa unasema eti wanaostahili kupigana kwenye hiyo ni wanaume wa Ukraine pekee tu na wanawake hawahusiki, hivi una akili kweli wewe?
Kwa hiyo unataka kutwambia leo hii jambazi wa kike akiingia ndani mwako akiwa na bastola au silaha yoyote hatarishi, wewe hautaangaika nae kumkabili na badala yake utamuachia mkeo ndio apambane nae peke yake eti kisa tu ni mwanamke mwenzie???.... Nyie feminists sijui huwa mnatumia kiungo gani ku reason, maana hoja zenu huwa ni za kipuuzi sana halafu mnajionaga eti mko smart kumbe wajinga tu