Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Siyo wote lakini wengi hawana adabu, Sister wangu ni top level kwenye taasisi fulani mume wake hamfikii kwa chochote lakini anampa heshima zote mpaka prsonal account yake anamuachia access ya ATM card, true love.Tatizo mnawasakama sana wanawake wasomi, kutokuwa na heshima hakuhusiani na elimu ya mtu.
Sina Maana hiyo, wapo wanaowavulia chupi kabisa baba zao wazazi, jaribu kunisoma in positive way utanielewa.Kwani unadhani waliolelewa na baba na mama ndio wana heshima? Kazi kwelikweli
Dada zangu wote wana kazi na wameishi na waume zao 30 plus years na heshima wanazoSiyo wote lakini wengi hawana adabu, Sister wangu ni top level kwenye taasisi fulani mume wake hamfikii kwa chochote lakini anampa heshima zote mpaka prsonal account yake anamuachia access ya ATM card, true love.
Simaanishi wanaume wategemee pesa za wanawake, lakini naamini kwenye true love usingesikia haya makelele.
Kwa unofficial research yangu findings zinaonesha wengi wanaingia kwenye ndoa kwa malengo binafsi lakini siyo real love.
wameshakuambia hawataki ndoa wao ni upinde inabidi uwe upinde kama wao ndio utaendana nao, hivyo wanaume wasioshabikia mambo ya upinde hawawezi kuendana na hao maswaiba wako.Yaani watu wanataka kuwa na version ile ile ya wanawake wz mwaka 47 ili hali kila kitu kinabadika. Kama ilivyo mabadiliko ya kiteknolojia, tabia nchi etc ndio hivyo binadamu hubadilika.
Inabidi kuishi kutokana na haayo mabadiliko na kutafuta jinsi ya kuendana nayo. Otherwise, tutapata tabu sana
aliyelelewa na baba na mama ni rahisi baadae kurudi katika mstari kuliko aliyelelewa na single parent wengi wao wanachulia mzazi msingle wake single kama ndio role wake huko mbele roho ya mama alinilea peke yake kumbe na yeye anaweza kuwa single parent itamsumbua sana na ndio hao wengi wanakuambia nimeolewa lakini siifurahii ndoa maana hana reference ya maisha ya ndoa kutoka kwa wazazi wake inakuwa kitu kigeni kwake.Kwani unadhani waliolelewa na baba na mama ndio wana heshima? Kazi kwelikweli
Huwajui vizuri wanawake bro jipe muda! Kuna wanawake akiwa na pesa haeleweki! Tena usiombe awe katokea nyanda za juuHakuna kitu wanaume wanaogopa kama kushindwa na mwanamke katika maisha,kazi,pesa,elimu na kila kitu
No wonder kuna wanaume wanaamuq kuoa golikipa bora maisha yampige lakini awe na mnyonge wake nyumbani
Inferiority complex yasumbua wanaume
Ilikuwaje boss?Ila single mother 🙌 nilichofanyiwa hapana aisee ila fresh tuu
Siyo inferiority ni nature ndio inatusumbua,tumeumbwa kutawala,kwahiyo inapokuja kuwa una mwanamke hatawaliki inaleta ukakasi sana...Hakuna kitu wanaume wanaogopa kama kushindwa na mwanamke katika maisha,kazi,pesa,elimu na kila kitu
No wonder kuna wanaume wanaamuq kuoa golikipa bora maisha yampige lakini awe na mnyonge wake nyumbani
Inferiority complex yasumbua wanaume
Hata huko Uarabuni ndoa zinavunjika sana. Soma statistics za UAE uone devorce ilivyo kubwa.wameshakuambia hawataki ndoa wao ni upinde inabidi uwe upinde kama wao ndio utaendana nao, hivyo wanaume wasioshabikia mambo ya upinde hawawezi kuendana na hao maswaiba wako.
Ndoa ni janga kwenye jamii ya watu waupe na wausi Duniani sababu ndio jamii inayopenda kwenda na mabadiliko inapenda trend .
Jamii ya wahindi na waarabu imejitahidi na inaendelea kuilinda jamii yake kupokea hovyo trend za kidunia . Wahindi na waarabu wana rate ndogo sana za taraka kuliko wazungu na weusi Duniani.
Ndoa si kwa watu wote ,utapewa wa kufanana nawe.Ukiwa Feminists ni shida,
Single mother ni shida,
Ukiomba pesa malalamiko
Ukimzidi mwanaume wako kipato kama yeye sio marioo tatizo.
Ukimzidi mwanaume elimu ni tatizo
Ukivaa nguo za kubana sio wife material
Ukitoka nyumbani unatakiwa kuomba ruhusa.
Ukichelewa kurudi nyumbani tatizo.
Mkuu hebu jazia nyama kidogo yule single mother alikufanyia kitu gani?Ila single mother 🙌 nilichofanyiwa hapana aisee ila fresh tuu
Dawa yake jioe mwenyeweUkiwa Feminists ni shida,
Single mother ni shida,
Ukiomba pesa malalamiko
Ukimzidi mwanaume wako kipato kama yeye sio marioo tatizo.
Ukimzidi mwanaume elimu ni tatizo
Ukivaa nguo za kubana sio wife material
Ukitoka nyumbani unatakiwa kuomba ruhusa.
Ukichelewa kurudi nyumbani tatizo.
nimeziona hizo statistics , waarabu nao wamwandamwa sana na wamagharibi kuwataka waendane na mabadiliko Kwa kigezo cha kutetea ukandimizwaji wanawake ,mwarabu akasalimu amri wakarebisha sheria nyingi mfano uhuru wa kusafiri, mavazi na hizo kuongezeka kwa devorve cases kuongezeka .Mwarabu kamshtukia mzungu kama anamuingiza chaka ndio maana mwarabu kaamua mpaka kujiunga na umoja wa BRICS ili kukusanya nguvu na sapoti kutoka jamii za wahindi,wachina na warusi kumkabili mmagharibi yote katika kulinda jamii yake huku Africa na nchi yetu ikiwemo imeshazidiwa nguvu kuzuia mmomonyoko wa maadili Dr Gwajima yumo humu JF kutwa anajionea haya labda juhudi za serikali kuanzisha idara ya ustawi wa jamii kama itasaidia kitu.Hata huko Uarabuni ndoa zinavunjika sana. Soma statistics za UAE uone devorce ilivyo kubwa.
Unaishi dunia gani mkuu. Elimu na kipato ni factors kubwa sana zinazochangia heshima ya mwanamke. Kadiri mwanamke anavyozidi kupanda ngazi kieleimu na kouchumi ndivyo anazidi kupoteza sifa za mke bora.Tatizo mnawasakama sana wanawake wasomi, kutokuwa na heshima hakuhusiani na elimu ya mtu.
Ndo sababu ukaiita miaka hiyo, Miaka hiyo mawasiliano ya simu hayakuwepo na kama yalikuwepo yalikuwa kwa mbinde sasahivi huyo single maza ana simu inam-connect na mzazi mwenzie ndani ya dk 0 wapo wanakunjana unataka watu wavumilie?Sisi miaka yetu hatukuwa na shida hata hao mnaowaita single mother _Watoto wao walituheshimu kama baba zao,nyie wa boxer nje mkome!