Kuwa mwanamke wa kisasa Tanzania ni changamoto sana katika mahusiano/ndoa

Kuwa mwanamke wa kisasa Tanzania ni changamoto sana katika mahusiano/ndoa

Maadili ya karne ya saba sio maadili ya leo, pia maadili yanaendena na level ya sayansi na teknolojia. Mkiwa katika level ndogo ya sayansi na teknolojia maadili yenu yanakuwa ya kijima zaidi na kandamizi kwa wanawake.
toba yarabi , akili za kimagharibi hizo zilizozalisha SOHO unaazijua Soho
hizo hata bongo hazijafika bado .

Japan ni nchi iliyoendelea kwa sayansi na teknolojia lakini imeweza kudumisha maadili Yao .

watu kama nyie mkipewa madaraka ndio mnatoaga vibali mambo ya ajabu ajabu kama hizi spa unaweza Kuta watu kama nyie ndio mlizoziruhusu baadae jamii ikipiga kelele kwa uchafu unaofanyika huko faster mnaenda kupiga makufuri mpaka juzi Dsm RC Chalamila akacheka akasema serikali inajitathmini kwa utoaji wake wa vibali katika mambo ya jamii akaenda mbali akasema inakuwa kama mtu anajitekenya then anacheka mwenyewe.

kwanza maendeleo ya Teknolojia yamechangia sana kuharibu maadili ingawa teknolojia hiyo hiyo imechagiza maendeleo ya kiuchumi zaidi, kwenye maadili a big no. sasa hivi wazazi tunapata shida sana kulea watoto Dunia ipo kiganjani mema na uchafu wote upo online , pornography , wizi wa kimtandao , mitindo hovyo ya maisha ipo kiganjani ni juu ya serikali na jamii zake husika kupitia Dini na tamaduni na mila mtakazokubaliana kukabiliana na mapinduzi hayo ya sayansi na Teknolojia kukabiliana nazo hasa yanayoambatana maazimio yanayopitiswa na jumuiya za kimataifa kitu kama hii kiiitwacho new world oda.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Somo la wanawake ni gumu sababu wao wenyewe tu hawajui wanataka nini au anachofanya ataweza kupambana na matokeo yake anajiona mzuri sana kwamba anatongozwa sana kumbe wanaomtongoza wenyewe wengi ni waume za watu anamletea kiburi mume wake anaachika na kwenda kuwa mchepuko wa mume wa mtu anaanza kuomba omba Hela watu hovyo hovyo,acheni tamaa tulieni kwenye ndoa zenu huku nje tunaigiza tu na vi romance vya uongo tukila mzigo hatutaki mazoea.
 
Wewe unaongolea vitu exceptionals, mimi naongela general, ni sawa na mtu anayeambiwa ngono zembe na uzembe mwingine ndio chanzo kikuu cha maambuzi ya UKIMWI yeye anajibu lakini unaweza kupata ajali damu ikachanganyikana ukapata UKIMWI.
Hujajibu hoja.
 
Hakuna kitu wanaume wanaogopa kama kushindwa na mwanamke katika maisha,kazi,pesa,elimu na kila kitu

No wonder kuna wanaume wanaamuq kuoa golikipa bora maisha yampige lakini awe na mnyonge wake nyumbani

Inferiority complex yasumbua wanaume
Tatizo hayo yote aliyoyaorodhesha ndiyo chanzo cha kiburi cha mwanamke. Dharau huzaliwa toka hayo, kukosa adabu huzaliwa hapo, usinisumbue unanizidi nini huzaliwa hapo, majigambo huzalishwa na hayo.
Nikikukemea juu ya hayo utaniambia ni inferiority complex?
Sasa, pamoja na elimu yako, pesa zako isiwe sababu ya kunifanya niwe house boy, kwamba sina sauti juu yako. Uhuru ukipita mpaka adabu inatoweka.
Ndiyo maana ni bora house wife kuliko ninyi wenye hayo uliyoorodhesha. Kwa nini tuchukuliane mapanga hatimaye?
 
A woman with feminine energy mostly they are cool and collected
Most of women hawajui jinsi ya kuishi na wanaume, unapokuwa masculine na kutunishiana misuli na mwanaume wako hawez kukupenda na kukupa heshima kama mwanamke wake na huwez kamwe kum-control, atakuona kama mpinzani wake tuu(mwanaume mwenzake) but ukiwa feminine ndo utaweza kumwendesha kama utakavyo kwasababu he will lower his guard, mwanaume akipata amani nyumbani atafanya kila kitu aidumishe hio amani.
 
Mtu uliyezaliwa na mwanamke unapata ujasiri wapi wa kuwaita "creatures"? Na kwa nini unataka kumcontrol binadamu mwenzako?

Wanawake ni watu wa kuwaheshimu na kuwaenzi kutokana na nafasi yao ya kipekee ya kutuzaa na kutulea wakati hatuna uwezo wowote wa kujifanyia lolote.

Na mara nyingi tukipita huu umri wa kujimwambafy, hao hao wanawake ndio wanatulea mpaka tunapoondoka katika hii dunia. Kuwatukana ni upumbavu wa hali ya juu.

Amandla...
Both men and women are CREATURES who are subject to the CONTROL of social institutions and hierarchy. Didn't your mother teach you this simple fact. ? Mine did.​
 
Wizi ni kosa la jinai wala sio suala la maadili ya jamii fulani.

Uzinzi ni nini?

Sijawahi kuona mtu mwenye akili timamu anatembea uchi duniani labda wakati fulani wanawake walikuwa wanaandamana vifua wazi kupeleka ujumbe.

Kosa la jinai kwa mujibu wa nani ? Unajua maana ya maadili ? Kutokuiba ni katika maadili.

UZINZI ni kufanya mapenzi nje ya ndoa.

Kumbe hata maana ya uchi hujui, wapo wengi waitwao au waonekao wana akili timamu hutembea UCHI.

Jaribuni muwe mnajadili mambo ambayo mna elimu nayo.
 
Kaeo kweli. Ndio hivyo mkubaliane na hali. Maadili yanabadilika kulingana na mazingira na utandawazi.

Hujui maana ya maadili. Jaribu kujenga hoja. Unaposema maadili yanabadilika ni kama useme ya kuwa zamani wizi ulikuwa haamu halafu leo ni halali. Tutakuuliza marejeo yako ni wapi ?
 
Una mawazo ya hovyo sana ya uharibifu, mke wako, watoto wako wa kike na wake zako wana hasara sana.
Hakuna watu wananiombea maisha marefu kama hao uliowataja hakuna hapa duniani hicho ni kipimo wanafaidi alafu sina maisha ya kiboss yaani kapuku flani mtaani lakini hao mabosi wa mtaani kwangu wanayatamani maisha ninayoishi na familia yangu,alafu inaonekana umelelewa kikeni na ndo maana unawaza kama...
 
Hakuna kitu wanaume wanaogopa kama kushindwa na mwanamke katika maisha,kazi,pesa,elimu na kila kitu

No wonder kuna wanaume wanaamuq kuoa golikipa bora maisha yampige lakini awe na mnyonge wake nyumbani

Inferiority complex yasumbua wanaume
Now this here is a pure depiction of a mindset of a Modern Woman a.k.a Corporate Catty.

By the way Inferiority Complex is inherent to all Homo Sapiens. That feeling of inadequacy will always lurk within the depths of your soul.

Hata wewe ukiwekwa meza moja na wanawake ambao wamekushinda uzuri, fedha, elimu na maisha ni lazima utajistukia tu kinamna.

Ndiyo ubinadamu wenyewe huo.​
 
Feminism ni nini?

Mbona neno hili huwa hatulisikii kwenye mada zinazohusu vita?

Au wenzangu mnikumbushe labda pengine kuna siku Feminist waliwahi kudai haki ya wanawake kukaa front line huko Ukraine na Gaza ila mi tu sikusikia?

"Ladies first" ni kauli mbiu nayokutana nayo mara nyingi kwenye maswala ya kimaslahi na sio kwenye mambo magumu.
The most bitter historical fact that modern feminists can't seem to wrap their heads around is that, the feminist movement of the previous century was a success story because of a multitude of decent men with power who took initiatives to address their plight.

It never occurs to men, seeing a modern feminist working so hard to try dismantle the patriarchy and emasculating men.​
 
It amplifies the inferiority complex ya wanaume wengi wa bongo. Wengi hawana exposure. Nawaonea huruma dada zetu.
Akili maandazi hii! Yaani kufuata mila za wazungu ndiyo exposure hiyo? Wanawake wa kiafrika mmeingia choo cha kiume!
 
Google, Tesla, Facebook, na Adidas ni kampuni binafsi hakuna shida kama wakiamua hawataki wanawake kuwa wafanyakazi au kutangaza biashara zao pamoja na kununua bidhaa zao.
Mpuuzi mkubwa wewe uko hapa kutetea usichokijua....

Sio tu kwamba wanalalamika kunyimwa ajira na hayo makampuni, wanawake wa marekani wakiongozwa na mafeminists wamekuwa wakilalamika na kupambana kuhakikisha idadi ya CEOs Inakuwa sawa kijinsia kwenye hayo makampuni niliyoyataja licha ya kwamba yamenzishwa na yanamilikiwa na wanaume.

Wewe unaongelea ni bwana? Feminists mnapenda usawa pale kwenye jambo linalowanufaisha tu baasi... Wanafiki wakubwa nyie
 
Mpuuzi mkubwa wewe uko hapa kutetea usichokijua....

Sio tu kwamba wanalalamika kunyimwa ajira na hayo makampuni, wanawake wa marekani wakiongozwa na mafeminists wamekuwa wakilalamika na kupambana kuhakikisha idadi ya CEOs Inakuwa sawa kijinsia kwenye hayo makampuni niliyoyataja licha ya kwamba yamenzishwa na yanamilikiwa na wanaume.

Wewe unaongelea ni bwana? Feminists mnapenda usawa pale kwenye jambo linalowanufaisha tu baasi... Wanafiki wakubwa nyie
Achana na makampuni binafsi ya watu,
Bill Gates ni Feminist,
Disney ni Feminists
Mark Zuckerberg ni Feminist
Tim Cook ni Feminist
Haya makampuni makubwa ya Marekani pia yanamilikiwa kwa shareholders,.uwe mwanamke, mwanaume au shoga kama una pesa unanunua hisa tu, hakuna hoja ya msingi hapa, move on.
 
Achana na makampuni binafsi ya watu,
Bill Gates ni Feminist,
Disney ni Feminists
Mark Zuckerberg ni Feminist
Tim Cook ni Feminist
Haya makampuni makubwa ya Marekani pia yanamilikiwa kwa shareholders,.uwe mwanamke, mwanaume au shoga kama una pesa unanunua hisa tu, hakuna hoja ya msingi hapa, move on.
Ufahamu wako wa mambo ni ndogo sana nimeshakwambia kwenye Kila jambo.

Ndio hayo makampuni yanamilikiwa kwa shares lakini wale largest shareholders ambao mara nyingi ni waanzilishi wa makampuni wao ndio wenye nguvu kimaamuzi na wanaweza kuamua wamuajiri nani na wamuache nani... Kwa mfano Elon Musk alivyoinunua Twitter alifukuza zaidi ya 55% ya wafanyakazi wote aliowakuta ambao aliona hawendani na sera mpya za kampuni hiyo, Twitter zamani ilikuwa ya kipuuzi tu kama Facebook tu na platforms zingine za Meta ambazo zimebana sana uhuru wa maoni na kuendekeza mambo ya political correctness, Sasa Elon musk aliwaondoa wale wote waliokuwa wanasimami hizo sheria na sera mbovu za kuminya uhuru wa maoni akianza na CEO ambaye alikuwa ni mwanamke.

Pamoja na hivyo, hoja inayojadiliwa hapa ni kwamba kwa vile wanawake hawako tayari kuhusika kwa namna yoyote ile na matokeo ya maamuzi ya wanaume yanayohusu mstakabali wa nchi kama vile vita n.k basi vile vile pia hawana sababu ya kushobokea au kutaka kunufaika na chochote chenye manufaa kinachotokana na maamuzi ya mwanaume, kwa mfano kama Sasa hivi ikitokea wanaume wa Ukraine wamaishinda vita dhidi ya warusi inayoendelea nchini kwao basi taifa la Ukraine litakuwa ni Mali ya wanaume na wanawake wote waliokimbia wakitaka kurudi watakuja kwa passport au kwa kuwaomba ruhusa wanaume wa Ukraine kwa sababu wanaume wa Ukraine ndio waliolipambania taifa lao mpaka amani ikarejea na wanawake hawakuhusika kwa namna yoyote....

Unajua nyie feminists mtu aki reason sana na nyie to the core mwisho wa siku mnakuja kuonekena ni vituko sana kwa hoja zenu?????
 
Back
Top Bottom