MPANGAPANGA
Member
- Sep 11, 2024
- 82
- 103
toba yarabi , akili za kimagharibi hizo zilizozalisha SOHO unaazijua SohoMaadili ya karne ya saba sio maadili ya leo, pia maadili yanaendena na level ya sayansi na teknolojia. Mkiwa katika level ndogo ya sayansi na teknolojia maadili yenu yanakuwa ya kijima zaidi na kandamizi kwa wanawake.
hizo hata bongo hazijafika bado .
Japan ni nchi iliyoendelea kwa sayansi na teknolojia lakini imeweza kudumisha maadili Yao .
watu kama nyie mkipewa madaraka ndio mnatoaga vibali mambo ya ajabu ajabu kama hizi spa unaweza Kuta watu kama nyie ndio mlizoziruhusu baadae jamii ikipiga kelele kwa uchafu unaofanyika huko faster mnaenda kupiga makufuri mpaka juzi Dsm RC Chalamila akacheka akasema serikali inajitathmini kwa utoaji wake wa vibali katika mambo ya jamii akaenda mbali akasema inakuwa kama mtu anajitekenya then anacheka mwenyewe.
kwanza maendeleo ya Teknolojia yamechangia sana kuharibu maadili ingawa teknolojia hiyo hiyo imechagiza maendeleo ya kiuchumi zaidi, kwenye maadili a big no. sasa hivi wazazi tunapata shida sana kulea watoto Dunia ipo kiganjani mema na uchafu wote upo online , pornography , wizi wa kimtandao , mitindo hovyo ya maisha ipo kiganjani ni juu ya serikali na jamii zake husika kupitia Dini na tamaduni na mila mtakazokubaliana kukabiliana na mapinduzi hayo ya sayansi na Teknolojia kukabiliana nazo hasa yanayoambatana maazimio yanayopitiswa na jumuiya za kimataifa kitu kama hii kiiitwacho new world oda.