Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Uho ndio upumbavu mlio ujaza kichwani mambo hayo yapo huko kwenu zenji sio darUmesahau moja….wengi hawana marinda
Hayo Ni maneno yakujifariji tu Ila Ninyi wa mikoani ndo mnaongoza kuvuliwa ubingwa kwa tamaa zenu huko mikoani ikiongozwa na chuga tanga na kuendeleaUmesahau moja….wengi hawana marinda
Tamaa zina waponza sana wakiona watu wapo dar wanahisi wanazulula kama magari tuHayo Ni maneno yakujifariji tu Ila Ninyi wa mikoani ndo mnaongoza kuvuliwa ubingwa kwa tamaa zenu huko mikoani ikiongozwa na chuga tanga na kuendelea
Uyo si wazenji uko au?Huyo wa kwenye avatar ndo anatuomba michango aende kuishitaki yanga
Magasho wamejazana hapo Bongo, Arusha Magasho wengi wametoka kanda ya mashariki..Hayo Ni maneno yakujifariji tu Ila Ninyi wa mikoani ndo mnaongoza kuvuliwa ubingwa kwa tamaa zenu huko mikoani ikiongozwa na chuga tanga na kuendelea
Noel katokea wapi?Magasho wamejazana hapo Bongo, Arusha Magasho wengi wametoka kanda ya mashariki..
Acha uongo wewe.Hellow africa
Acheni sifa ambazo wengi mnazibeza kuhusu wanaume wa dar japo nyingi ni za uongo msingekuwa mnatoka mkoani kuja kufwata penzi dar
Il uwe mwanaume wa dar must having money
Sifa za mwanaume wa dar
Kwaza tupo smart kuliko kawaida na wasafi sana yaani tunapiga pamba kali af kwa bei kali
Pili kichwani tuna akili sana yaani wengi tupo smart sana ki mental
Tatu tunajua kutafuta pesa na kutumia pesa pia
Wapole na tupo romantic sana ilo hakuna wakupinga
Mwisho kabisa ni watanashati sana that why watu wa mikoani mnataka kuolewa na wanaume wa dar
Polea mau yako dada karibu tena dar 🤗Naomba nikubali hili kiukweli, wengi wao wanajua majukumu yao, sijui huwa ni mfumo wa maisha ya wadada wa huko yanawanyoosha,
Siye tushajizoelea huku you just pay your bills on your own, lakini nikiwa na wanangu wa Dar mpaka nauli ya Uber unakuta analipa yeye, wakati wewe ulishaandaa zako cash lakini hakubali ulipe..!!
Mbarikiwe wakaka wa daslama.!!
0Mkuu Una miaka mingapi?
Kama si nduguyo hulipiwi bure.Kuna moja kati ya mawili.Ni aidha anakuvizia/anakuzubaisha akuibie/akutapeli au akutumie(kwa akili,mwili au kiuchumi) kwa faida yake.Kuwa makini.Naomba nikubali hili kiukweli, wengi wao wanajua majukumu yao, sijui huwa ni mfumo wa maisha ya wadada wa huko yanawanyoosha,
Siye tushajizoelea huku you just pay your bills on your own, lakini nikiwa na wanangu wa Dar mpaka nauli ya Uber unakuta analipa yeye, wakati wewe ulishaandaa zako cash lakini hakubali ulipe..!!
Mbarikiwe wakaka wa daslama.!!
Shida mmekalilishwa sana utapeli uho ata uko mikoan upo kwani wanaopiga simu wanatoka wapi kama sio mikon mbona wamikoni ndio mnaongoza kupiga simu uku dar msaidiwe hela njaa zinawaumaAcha uongo wewe.
1-Si kwamba mna akili.Ni wasaniiwasanii na ujanja-ujinga mwingi ili muishi kwa starehe bila jasho,
2-Pesa hamjui kutafuta zaidi ya utapeli,udokozi na dhulma.Kwa sababu,hampendi kazi ngumu na ajira maalum hakuna.Hata u-smart wa mavazi ni ya kuazima aidha madukani au waliobahatika kuwa nazo,
3-Hampo romantic.Wengi mnapenda u-marioo kwa sababu hamna vyanzo vya kueleweka vya vipato.Mpo macho juujuu kuangalia mashangazi(vibibi) myapige matukio.Na ndiyo maana mkifanikiwa kuwaibia fedha au vitu vya thamani hao mashangazi huwa mnarudi kutafuta wa umri mnaoendana nao.
Acha kumpotosha dada alikuja akapewa huduma mzuri sio kama wewe muache aseme ukweliKama si nduguyo hulipiwi bure.Kuna moja kati ya mawili.Ni aidha anakuvizia/anakuzubaisha akuibie/akutapeli au akutumie(kwa akili,mwili au kiuchumi) kwa faida yake.Kuwa makini.
Anavutiwa kasi.Atajishangaa kama siyo kufurahishwa.Mnajulikana kwa kupenda kutumia imani waliyonayo wageni wenu kuwapiga mishangazo.Halafu huwa hamkawii kuzima simu mkitafutwa ili msioneshe mnapoishi.Acha kumpotosha dada alikuja akapewa huduma mzuri sio kama wewe muache aseme ukweli