Kuwa Mwenyekiti wa kamati ya harusi ni kazi sana

kwahiyo kuja Jf kunitia Aibu ndo nini??
 
Nilishawahi kuwa mshika fedha ya shuguli moja hvi ndg hapo hapo nkapotea watu walisikiaa nko kusini nlijipatia nauli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kitambo sanaaa hiyoo

Ova
Hahahahaa waliingia cha kike
 


Mkuu ii idea n nzr ntaitumia uko mbele.
 
Kuna siri moja nime-note kwenye harusi za namna hii hapa Bongo. Mafukara ndiyo hutaka harusi za gharama.
 
Hii ndiyo harusi ya watu wenye akili. Maskini wengi wana inferiority complex hivyo huwa wanaona kufunga ndoa ndogo ni kujidhalilisha.
 
Sherehe ya harusi inafanyikia mkoa gani?
 
Milioni moja kwetu inatosha mahari na gharama za harusi. Acheni kuendekeza ujinga!
 
Chukua hiyo milioni moja weka mkeka wa odd 2 kila siku baada ya wiki moja mnafanya bonge la sherehe dadeki
 
Kutoka pledges 18M hadi cash Milion 1 kasoro duh! Ndugu mwenyekiti itakuaje sasa! Hapo nawashauri sherehe isiwepo tu. Wafunge ndoa then kimya. Ila inawezekanaje wasuse watu wote hivo jamani, inaonesha hata wewe mwenyekiti hujatoa mchango😀
 
Hii ndiyo harusi ya watu wenye akili. Maskini wengi wana inferiority complex hivyo huwa wanaona kufunga ndoa ndogo ni kujidhalilisha.
Na hapa hata tungetaka kutumia mil 200 uwezo huo tulikuwa nao bila kumchangisha mtu... Watu walikuwa surprised kusikia tangazo la kwanza la ndoa kanisani..
Wedding ceremony ni event yenye utulivu wa hali ya juu angalia wedding za wazungu, philipines na kenya. Hizi za bongo huwa ni vurugu tupu ukumbini na complications kibao mara sijui mziki unapigwa sekunde 30 mc ame interact, sijui kutambulisha, zawadi watu wanabeba li fridge, pikipki, mabeseni, vigoda, cheers, wosia arggghhhh upumbavu tupu tulikataa haya ukizingatia mwamba ni mtu mpole kiasili
 
Milioni 18? Mimi nilitumia milioni tatu tu na watu wikula na kujigalagaza hela yote ya nini? Kuna maisha baada ya ndoa ajue
 
Hatoboi kamwe huyo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…