Kuwa Mwenyekiti wa kamati ya harusi ni kazi sana

Upuuzi mtupu. Haya ngoja tuwatoe kwenye dilema inayowakabili. Muoaji, mashahidi 2, muolewaji msindizaji 1, mfungishaji ngoja jumla watu 6

6 x chakula 5,000 kila mtu = 30,000/=

Hela inayobaki kafanyia ishu nyingine. Kwa nini mnacomplicate vitu?
 
Mamc wengi top ni 2m hata huyo garab ila jamaa noma kuanzia alhamisi mpaka jumapili already booked....jumatatu anaamka na 8M kumbuka na dili la picha plus video anachukua yeye so uwezekano wa kufika 4m upo......
 
We ni mwanamke[emoji44][emoji44]
 

Et vigodaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Vijana Wa sasa ni tabu sana,huwa sipendi mtu aniletee kadi ya mchango Wa harusi, na sidhani kama itatokea kuchangia harusi,ogopa sana kupata mwenza mwenye makuu,atakupelekesha sana.

Ndoa Yangu nilifunga kanisani,hakuna hata mtu aliyechangishwa hata shilingi kumi,jumla ya pesa yote nilitumia shilingi 100,000/= ,yaani chakula,malazi na nauli,baada ya ndoa kufungwa watazamaji walitawanyika kama vile walikuwa mpirani,kila mtuna njia yake.

Nashukuru mke wangu si mtu Wa kupenda makuu.nilichogundua watoto Wa kike huwa ndo chanzo cha kushinikiza ndoa za kifahari ,mwisho Wa siku mnaishia kwenye madeni makubwa.niliwahi kuwa na binti kwenye mahusiano ,kila siku alikuwa akinikumbusha jinsi ndoa yetu itafana,alikuwa na matarajio makubwa sana ya kuwa surprise watu kwa ndoa ya kifahari,kwa kifupi alikipata alichokuwa anakitamani baada ya kuachana na Mimi,lakini hadi muda huu kaishia kuzalishwa Toto mbili na kuachana na bwana yake.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimecheka hapo kwenye supu
 
Ooh mkimya,... Bila shaka huyo jamaa ni introvert.
 
Jamaa kama kachanganyikiwa hivi, nimemshauri afanye kama Lulu na Majizo.
Km hataki mwambie aweke milioni 18 mezani,atulie mipango iendelee.AU mwite aje mpigie bajeti hiyo laki tano sherehe ufanyike.Yy awe mkiti wa hicho kikao Cha bajeti.

Unataka ufahari na hela zilizoko mifukoni kwa wanaume wenzio.
 
Km uliowa / kuolewa watu wanajua mambo ya harusi zinavyokuwaga.
Swali kwako ulisha owa/ kuolewa tupe experience ya ndoa yako ilivyokuwa.
Haisaidii kwa sasa.Kinachotakiwa Ni hela na hamna.huyo bwana harusi km alikuwa hachangii wengine alitarajia nn.PILI aliunda kamati ya watu wa aina gani.
 
Alikeni watu wachache, fanyeni kaparty kadogo kimtindo sio mpaka umati wa watu.
 
Mwenyekiti inaonekana wewe una Gundu, ndiyo maana michango inasuasua.Jiuzuru uone michango itakavyo tiririka.
 
Yeye mwenye haru
Atoe hizo 5M kwanza. Mpuuzi mmoja huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…