Kuwa Mwenyekiti wa kamati ya harusi ni kazi sana

Sherehe haizuii kufunga ndoa.Wafunge ndoa wasepe kwani sherehe ni lazima.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Weeee nae ubahili ulikujaaa upike mwenyewe alaf tena wewewe ndio bwana harusi
 
Afuate ushauri wako. Kinachohitajika ni ndoa, sio harusi!
 
Uhalisia wa hali halisi mbona unaonekana kutokea kwake bwana harusi ndio maana na pledge yake pia imegoma? Fanyeni shughuli kutokana na pesa iliyopatikana maana yake na wachangaji waliopatikana. Kwani mna malengo ya kuwaalika watu mamia kwa hela kutokea wapi, kwa mkopo benki?
 
Ndo manaake, gari ya harusi wife aligoma kukodi,akasema ntadrive mwanzo mwisho mwenyewe. Wala hatukua na gharama ingawa waswahili waliiba pombe vilevile kwenda nazo kwao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]komesha ya wabahili bilashaka hata wahudumu mlikuwa nyinyi wenyewe
 
nishawah kuwa mwenyekiti wa kamati nikakimbia na million 5 wakanikamatia stendi nikarudishwa nikaendelea kukusanya michango chini ya uangalizi mkali,zile ela zinatamanisha sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna jamaa alikusanya mchango akakimbia nao sijui harusi ilifanyika vipi lakini alikuja kuwarudishia baadae bwana harusi akamshukuru sana maana ilikuwa hela nyingi sana bwana harusi akapata na mtaji wa maisha ulikuwa mpango wa bwana harusi na mweka hela
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Unajua hiyo M ni nyingi sana maana , najua hao waliochanga wanaweza kuenjoy sana
 
Mc garab gharama yake no shilingi ngapi mkuu
 
Hiyo Million moja kasoro inatosha kulipia photoshoot na dinner moja matata sana kwa hao hao waliochanga tu!
Kweli, haina haja ya harusi kubwa ilhali hakuna hela, bora lipikwe kitu cha biriani na wapigwe photo kadhaa hapo, iishe ivyo bora kapata mke hakuna issue ya kujiumiza kichwa kwa mawazo. Hali ya mifuko ni mibaya sahi! 🤣
Salamu toka nchi jirani ✌️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…