Kuwa na mahusiano na Wanawake wasio na pesa ni tabu sana

Hivi hii haki sawa mbona huwa mnaihubiri linapokuja suala la pesa tu!!! Ila kwa mambo mengine mnang'aka hatari!
 
pesa ndo kila kitu mkuu. mtu yeyote linapo kuja swala la pesa anakua serious kdogo,
 
Dont date broke ladies wacha wafe na njaa zao. Wee kula mbususu sepa.
Remember women never even look at a broke man
 
Msaidie mpenzi wako Jamani
 
Kumbe hawa wanaotuomba hela wanatuenjoy tuu kwa i love u nyingi na wakati wanauza bupa😭😭😭😭
 
Hivi hii haki sawa mbona huwa mnaihubiri linapokuja suala la pesa tu!!! Ila kwa mambo mengine mnang'aka hatari!
Duu haki sawa ina hubiriwa na wanaume? Tokea lini.......? Nyie kwenye vyomb vya habari mwanzoni si mlitaka waweke mpaka kwenye mitaala au sio nyie na NGO zenu....?K

Linapokuja swala la pesa nani yupo mbele.......? Maana kwenye nyumba hata mwanamke awe na mil 1,mwanaume laki 2 ,jumla nyumba ina laki 2.

Ila siku hizi mkubaliane nayo kwani ile mbegu mliyo ipanda kupitia NGO zenu hizi ishaanza kumea na kuzaa,hata vijana siku hizi wanafikiria kwenye mitizamo ya haki sawa sababu ndivyo walivyo fundishwa.
 
Hii inahubiriwa na nyie wanaume kwa kasi sanaaa ila ni kwenye pesa tu, mengine hamtaki🤣🤣
Linapokuja swala la pesa nani yupo mbele.......? Maana kwenye nyumba hata mwanamke awe na mil 1,mwanaume laki 2 ,jumla nyumba ina laki 2.
Si mnajiita vichwa vya familia, sasa iweje hilo liwe tatizo!!!
Ila siku hizi mkubaliane nayo kwani ile mbegu mliyo ipanda kupitia NGO zenu hizi ishaanza kumea na kuzaa,hata vijana siku hizi wanafikiria kwenye mitizamo ya haki sawa sababu ndivyo walivyo fundishwa.
Kwahiyo mnataka haki sawa au hamuitaki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…