Kuwa na mpenzi "mtoto" inahitaji ujasiri sana


Dogo kamwona bidada desperate, Dada Hata kama Upo desperate ficha aibu yako
 
Kweli huyo ni mtoto.
Mimi Nina wanawake wawili.lakini wote nawaheshimu.nikiwa na huyu anajua yupo peke yake na nikiwa na Yule anajua yupo peke yake.
na ninaiheshimu Sana SIMU YANGU kuliko kitu chochote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]..
 
Sasa nifanyeje na ninaona mapichapicha tu
Kwahiyo mtoto mzuri tunafanyaje sasa ..achana na huyo bwege asiyejua kuheshimu hisia zako ...let's connect 1st tupeane michongo mbali mbali ya utafutaji DM kuna fursa kibao mtaani zina subiri watu ambao wanao jitambua ili ziweze kuwa nyanyua katika maisha yao ...
 
Huyo ni baharia bado hajawaza kuoa bado so bidada achape mwendo, asitese nafsi yake
 
Ndo maana nazimika na midude ya 40+ hukoo no stress walahi nadeka napendwa nabembelezwa mpk najionea wivu Mimi mwenyewe, pole mrembo wewe chapa lapa huna chako hapo
Nasisi Wazee tusha wafahau nyie Vijana Mnaumizwa sana kwenye Mahusiano Yenu Uko.Tuta endelea kuwachapa Rungu Tu Na Alikasusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…