Kuwa na mpenzi "mtoto" inahitaji ujasiri sana

Atakutana nae wapo wengi tu ila ndio hela hawana 😁😁😁 mwenye kazi lazma awe na micheps
Hapana si lazima michepuko. Mara nyingi wenye michepuko wana muda mwingi wa kupoteza. Kama mtu umeamua kuwa na fulani na uko busy na mambo yako, unapata wapi muda wa kufanya uchepukaji? Nina kaka. Ni mtu smart sana. Hachepuki kabisa na hata akiwa na girlfriend haendi kwingine. Ameoa akiwa na 46. Kutokana na kuheshimu sana hisia za wadada, wakawa wanamchora yeye. Akipata huyu mara anamkana hadharani baada ya kukaa kwenye mahusiano kwa muda. Akienda huku mtu haeleweki. But now amepata wa kufanana naye.
 
Kwa hiyo huyo benten wako alikuwa na miaka 31, je wewe una umri gani?
Ila pole, tupo wababa tunaojitambua...tafakari, chukua hatua
 
Amini nakuambia ipo siku atakukumbuka sana tena sana. Tuuachie muda ndiye msema kweli
 
Swali rahisi tu, unadhani huko uendako ndo utakutana na mwanaume ambaye ha-cheat? Tuliza hasira zako bi dada, kaa na mwenzako mueleze na kumbushe yapi yalikuwa malengo yenu!
Hujamuelewa huyu bidada. Shida yake sio mwanaume asiyecheat. Shida yake mwanaume mwenye moyo wa kuonyesha kushtuka akikutwa amecheat. Inaleta maana kuliko chochote
 
Hongera zake bro! Ni mtu safi
 

Excellent, your such an awesome lady, hongera na ubarikiwe sana, na kama ulimpendea satanic aspects ama vitu vya kupita visivyo vya kiroho nikupe pole, karma truly works it does exist for real. Ungama sasa. Unatia tumaini na nuru kwa wahitaji wa kweli
 
Hapana mkuu, kwa sasa hata mi niliona nipumzike nifanye mambo ya msingi zaidi. So tutafutane baada ya miezi kadhaa mbele please, nitakufikiria.
Na mimi nipo kwenye foleni bibie.Hatuwezi kukuacha peke yake ukipigwa na baridi wakati vidume tupo na mikuyenge yetu.
 
Umetaja umri wa jamaa, na umri wa demu wake.... tutajie umri wako tutajua tatizo liko wapi!
 
Hapana mkuu, kwa sasa hata mi niliona nipumzike nifanye mambo ya msingi zaidi. So tutafutane baada ya miezi kadhaa mbele please, nitakufikiria.
Jimbo liko wazi sema uchaguzi utafanya baada ya miezi kadhaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…