MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
kwahiyo ndugu yangu akiuawa na mimi nikauwe right? huo si ulofa gentleman?Aise kwa hiyo ndugu yako akiuawawa ukapiga kilele ni wendawazimu???? Mkuu
Nchi yenye hali ngumu ambayo ili mtu ale nilazima aendw kazin atatoa wapI muda muda wa kuandamana? 🤣Hao waandamanaji wengi wao ni wazururaji tu wasio na kazi.
Swala la utu wa mtu halina ukabila! Sio kweli kwamba wanaondama kenya kwamba ni wajeluo tu! Maanake wajeluo wamejaa Kenya???? Wakenya wameelika na wanatambua haki zao tofauti na hapa Tanzania wamemezwa na uchawa, na ushabiki wa simba na yanga! Pamoja na bettingKujifananisha na wakenya wenye siasa za ukabila ni kujitukana. Aliyefariki ni mjaluo na wanaoandamana ni wajaluo. Tanzania huwa tukikemea jambo hatuangalii kabila la mtu. Mfumo wa maisha ya Kenya ni wa kinyama mno usio na maadili.
Tafuta madesa yako uangalie kinachoendelea hata huko..., Sana sana mtu ni kuangushiwa jumba (mbuzi wa kafara) lakini wahusika wanaendelea kupeta, na hayo maandamano yatafanyika kwa siku kadhaa when the dust settles maharamia watabaki na kuendelea kuwa pale pale.... Kwa ufupi tu ngoja nikupe assassinations za Kenya na tena hao ni prominent political figures (and absolutely no has been called to justice)Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!
Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
Ķama kudai haki yako unauliwa basi huo mfumo haufai kule kenya wameanza kuandamana hii ni wiki sasa sijaona aliyeuawawa! Maanake mfumo wao ni mzuri ndo maana nasema KUWAFIKIA wakenya itatuchukua miaka mingikwahiyo ndugu yangu akiuawa na mimi nikauwe right? huo si ulofa gentleman?
au wewe hutakufa?
kwahio walivoandamana ndo jamaa karudi hai ama?
kodisha hio akili yako kwa wengine naona haikufaiMavi ya kuku.
Kwa akili hizi unaweza kukuta kuna mtu anakutegemea kabisa.kwahio walivoandamana ndo jamaa karudi hai ama?
if you can't fight them, join then otherwise you will be no more na hakuna kitu utafanya wala itafanyika gentlemanĶama kudai haki yako unauliwa basi huo mfumo haufai kule kenya wameanza kuandamana hii ni wiki sasa sijaona aliyeuawawa! Maanake mfumo wao ni mzuri ndo maana nasema KUWAFIKIA wakenya itatuchukua miaka mingi
Swali la kijingq sana, Kesho keshokutwa akiuawa mwingine utamlaumu nani? Nyie ndiyo aina ya watanzania mleta mada anawazungumzia.kwahio walivoandamana ndo jamaa karudi hai ama?
Akili za mtanzania hizi.Kabla dunia haijachangamka na kushtuka,hayo uliyoyaandika ndiyo yalikuwa maneno ya watu wasiojitambua kinafsi,fikra hadi kiuumbaji.kwahio walivoandamana ndo jamaa karudi hai ama?
Leo Kenya watu wengi sana hawajatoka kwenda misheKenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!
Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
Hivi kwani umeambiwa waliandamana ili huyo aliye dead arudi hai?good, then use sense
ndo tunasema logic itumike, mpumzishe kwanza ojwang alafu harakati zifuate sasa kuanzia apo, wewe kukaa na mzoga ndan sio busara ni ulemavu wa akili kuonyesha kwamba unaweka msimamo wa kujikomoa, usipokua na busara utakutana na wahuni zaidi yako alafu watakaolia sio wewe bali familia yakoHivi kwani umeambiwa waliandamana ili huyo aliye dead arudi hai?
Kwahiyo Kenya hawendi kazini, chakula kinakuja tu! Mzazi wako tu ndiye atakuamini usemacho maana Hana jinsi, alikuzaa yeye! Ahahahahaha!!!Nchi yenye hali ngumu ambayo ili mtu ale nilazima aendw kazin atatoa wapI muda muda wa kuandamana? 🤣
yote unaofanya familia yako ndo itaumia sio wewe, ukiamua kuandamana tena fresh atauliwa mwingine na ndo faida mtakaokua mmepataAkili za mtanzania hizi.Kabla dunia haijachangamka na kushtuka,hayo uliyoyaandika ndiyo yalikuwa maneno ya watu wasiojitambua kinafsi,fikra hadi kiuumbaji.
si unaona mwenyewe unajifunga kwahio ukiandamana akifa mwingine ndo faida mtakaokua mmepata?Swali la kijingq sana, Kesho keshokutwa akiuawa mwingine utamlaumu nani? Nyie ndiyo aina ya watanzania mleta mada anawazungumzia.